Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanzanian Brain
tanzania brain.jpg
 
Hapa naomba tuelewane kwamba utani wetu haujaanza leo na ni utani kweli kweli ndio maana huwezi kukuta east africa mataifa mengine wanataniana kama sisi .
Naomba Amani itawale kati ya kenya na tanzania na viongozi wetu waturuhusu tufanye biashara kama zamani ambapo mambo yalikua mazuri sana.
Sasa watanzania wengi wanapanic zaidi kwa hoja nyepesi hadi wanaliabisha taifa

kikikikiiii.... umenichekesha sana Daudi Mchambuzi!!!!! jaribu kufafanua zaidi unachojaribu kusema.
shukran!
 
correction: Who do you think you are?
chagua moja kati ya kupambana na Nairobi au Lugha.
Ur is a short term for you're acha ujinga lugha hujui unajibeba ufala
N BTW aliekwambia unajua lugha ni Nani?
 
Back
Top Bottom