Janerose mzalendo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,881
- 2,813
Kutoka Leo natumai tutaheshimiana. Mambo ya kuniitA nyani, ukome kabisamh...!! may be...
Kutoka Leo natumai tutaheshimiana. Mambo ya kuniitA nyani, ukome kabisamh...!! may be...














Nenda upige picha ya maana achana na hiyo imepigwa na itel,mtu alipiga akibinua kiuno.


Tuliwambia leteni miji yote ya Kenya ishindane na Dar. OkayWeka na Kisumu na Mombasa na Nakuru
kwani mtu akikuita nyani we unaumia sana??..unahisi utakuwa nyani kweli au ..??Kutoka Leo natumai tutaheshimiana. Mambo ya kuniitA nyani, ukome kabisa
Nimecheka sana. Unaumia nikikwita Lucy? Niskie siku nyingine ukitusi wakenya nyani humu. Utanitambuakwani mtu akikuita nyani we unaumia sana??..unahisi utakuwa nyani kweli au ..??
na wewe ukome kuniita Lucy,ukome kabisa!?ukirudia nitakukata makofi..!!
Samsung galaxyWhich kind of phone are you using?
You just need to see the printing of the filth and vomit that unveil in these characters!...i rather stay away from engaging in this kind of stupidity than lower my dignity...so sad that a grown ass man can post such a pathetic idioism.ehehehe aisee umeharisha vya kutosha sasa tuliza........💉💉💉💉💉💉
View attachment 915256
Hehe ati unaitwa Lucy kama yule ANCESTOR WA BINADAMU...HUYU HAPAkwani mtu akikuita nyani we unaumia sana??..unahisi utakuwa nyani kweli au ..??
na wewe ukome kuniita Lucy,ukome kabisa!?ukirudia nitakukata makofi..!!
😀😀😀😀Hehe ati unaitwa Lucy kama yule ANCESTOR WA BINADAMU...HUYU HAPA
View attachment 918999View attachment 918999
ate whaatttt.................Dar es salaam city
View attachment 918954
nn tenaate whaatttt.................
Hahahaha mbona atoe hiyo nyumba na iko Eldy??? Ama ni ya Naks??Eldoret inawezana na Arusha? Ukitoa iyo nyumba moja eld haiwez chuga...
Umeludi kwa internet cafe 😂😂😂Toka umepoteza simu you cant buy a new phone😂😂 Usiku JF inakupita😂😂Hehe ati unaitwa Lucy kama yule ANCESTOR WA BINADAMU...HUYU HAPA
View attachment 918999View attachment 918999
Hhhh!!naona cha moto umeanza kufuatilia maandishi yangu...utaweza lkn..hyo sekta usiiguse kabisa..manake nitakupa vitu vya uhakika...Sijakuelewa unaposema "kwn walianza wao hao".