ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
kwa sababu vina ongea ukweli yani hakuna nchi inasheria mbovu ya ardhi africa mashariki kama kenya serious am telling youno but no thanks
sina time na vi-blog uchwara ambayo mtu yeyote anaweza kuandika maoni yake bila utafiti.
nilitaka tu unionyeshe ni wapi inasemekana kuwa Uhuru anamiliki robo ya Kenya lakini sasa naona tunazungushana tu.
