Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nijibu swali wanjala hii ni westland as u said?????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ maana mm naona CBD hapo ww unaniambia westland au ulitaka tuamini kua westland ina density ya kuitwa CBDView attachment 918895
View attachment 918895
Westlands towards Kikuyu. Sarova marks the boundary between The CBD and Westlands
 
Attachments

  • IMG_20181102_085423.jpg
    IMG_20181102_085423.jpg
    352.2 KB · Views: 25
i like how you have put it 'nyumba zao za kawaida' which actually translates to 'vibanda'!

of course wabongo ni maskini duni na hawana uwezo wa kufikiria... wao bora waliskume gurudumu la maisha, liende liende tu. wao bora makaazi na sio makaazi bora.

estates Kenya zinajengwa na wananchi/ saccos/ harambee/ private developers.... sio kutegemea serikali kujengea polisi barracks pekee

you are Poor. and you will remain Poor till thy kingdom comes

Poor in Reasoning, Poor in Thinking, Poor Physically, Poor Emotionally, Poor Economically, Poor Financially, Poor Living, Poor Surrounding, Poor Environment, Poor Neighbourhood, Poor Planning, Poor Lifestyle...... Everything about you is Poor!!!!! Filthy Poor!
Jamaa mbona povu lakutoka sana..!!unafikiri jamaa anakudanganya hakuna mbongo anapenda kuishi hostel,tulikaa hostel kipindi tunasoma shule,leo tuna familia zetu napo tukae hostel,yaani wenzangu wanajenga mimi nikae hostel,yaani nyumba zinafanana kila kitu??...halafu usijidanganye budaa hizo mnazoita estate ni miradi ya wanasiasa kama akina ruto,moi,uhuru n.k. ,wawekezaji kutoka nje,hakuna mkenya wala taasisi yoyote ya kawaida ya Kenya inaweza jenga estate!mtashangaa Nairobi wanaishi watu wakubwa tu nyie masikini mnasogezwa ushagoni huko mashinani..
 
wanauza kwa nani ikiwa 46% hamuna kazi au munanua wakati mukiwa kwenye ndoto??? unafkiri politician na investors wao wajinga sana nani atauza ardhi ikiwa anajua ardhi ni kitu muhimu sana kenya kuliko hata chakula

kazi investors and policians wao ni profit motivated utake usitake uta rent kwao kwasababu huna ardhi na huna ndoto za kumiliki nyumba mpaka yesu anashuka ndio maana leo hushangai 2.5 million people in nairobi muko kibera munaishi maisha zaidi ya wanyamaπŸ€—πŸ€—πŸ€—πŸ€—
i understand you don't have saccos in your impoverished country.
unaweza kwenda kwa benki yako na u-apply mortgage loan pia... at the end of the day utaweza kumiliki nyumba
 
uniletee ushidi wakati huu hapa na ww hushangai unaona kawaida kabisaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
alaf robo nyingine wanamiliki white setllers tena am talking of arable land View attachment 918892
hio ndio World Bank report au ni blog uchwara uliyokwamilia nayo????
 
Jamaa mbona povu lakutoka sana..!!unafikiri jamaa anakudanganya hakuna mbongo anapenda kuishi hostel,tulikaa hostel kipindi tunasoma shule,leo tuna familia zetu napo tukae hostel,yaani wenzangu wanajenga mimi nikae hostel,yaani nyumba zinafanana kila kitu??...halafu usijidanganye budaa hizo mnazoita estate ni miradi ya wanasiasa kama akina ruto,moi,uhuru n.k. ,wawekezaji kutoka nje,hakuna mkenya wala taasisi yoyote ya kawaida ya Kenya inaweza jenga estate!mtashangaa Nairobi wanaishi watu wakubwa tu nyie masikini mnasogezwa ushagoni huko mashinani..
okaaayy...
psycho
 
i understand you don't have saccos in your impoverished country.
unaweza kwenda kwa benki yako na u-apply mortgage loan pia... at the end of the day utaweza kumiliki nyumba
ww usibadilishe maneno mm nakwambia investors ndio wenye kumiliki estate nyingi sana nairobi pamoja na politician na kazi zao wao ni kuwapangisha nyie ili mulipe kodi na wao ni profit motivated kwanza ulijue hilo sasa usitudanganye sisi kwakua hutapata faida yoyote πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
you can as well invest in Kenya.... that"s if you have the muscles or you want to....
simply by a piece of land, develop it using the latest technologies na uuze kwa bei uitakayo upate pesa za haraka. that's what's going on here.

jenga nyumba kwa millioni mbili, uza millioni tatu na usepe
 
umuuzie nani??? ajira hamuna unanunua na nn??? watu wanamiliki ardhi kama source of income auze ardhi kenya alafu afe njaa wakati ardhi ni muhimu kenya kuliko chakula ww usifanye watu wajinga ndio maana leo huwez kushangaa kibera wanaishi 2.5 m people u know y kwasababu hawana ndoto ya ardhi wala nyumba ardhi zote ziko kwa politician na investors
 
ingia google andika kenya today watakuletea kila kitu ni blog kubwa sana kenya labda ww ndio huijuiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘πŸ‘πŸ‘
no but no thanks
sina time na vi-blog uchwara ambayo mtu yeyote anaweza kuandika maoni yake bila utafiti.
nilitaka tu unionyeshe ni wapi inasemekana kuwa Uhuru anamiliki robo ya Kenya lakini sasa naona tunazungushana tu.
 
umuuzie nani??? ajira hamuna unanunua na nn??? watu wanamiliki ardhi kama source of income auze ardhi kenya alafu afe njaa wakati ardhi ni muhimu kenya kuliko chakula ww usifanye watu wajinga ndio maana leo huwez kushangaa kibera wanaishi 2.5 m people u know y kwasababu hawana ndoto ya ardhi wala nyumba ardhi zote ziko kwa politician na investors
yes
 
Back
Top Bottom