Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

i like how you have put it 'nyumba zao za kawaida' which actually translates to 'vibanda'!

of course wabongo ni maskini duni na hawana uwezo wa kufikiria... wao bora waliskume gurudumu la maisha, liende liende tu. wao bora makaazi na sio makaazi bora.

estates Kenya zinajengwa na wananchi/ saccos/ harambee/ private developers.... sio kutegemea serikali kujengea polisi barracks pekee

you are Poor. and you will remain Poor till thy kingdom comes

Poor in Reasoning, Poor in Thinking, Poor Physically, Poor Emotionally, Poor Economically, Poor Financially, Poor Living, Poor Surrounding, Poor Environment, Poor Neighbourhood, Poor Planning, Poor Lifestyle...... Everything about you is Poor!!!!! Filthy Poor!
estate zinajengwa na wananchi wakikenya wakina nani zaidi ya politician + investors na unajua kwann munajengewa estate ili maisha yenu muwe wapangaji coz ardhi hakuna na dream ya kumiliki nyumba hamuna ndio maana leo hushangai kuskia kenyatta anamiliki robo nzima ya kenya😂😂😂😂😂👏👏
 
😂😂😂😂😂👇👇👇👇
5392237D-39B8-4AA7-B2B4-321EA796F8DD.jpeg
E18C36CE-F9DB-4888-8EB5-22E9B047C8C5.jpeg
FA81044D-D427-4EE0-A877-13A8F8AE3B67.jpeg
0F1CE6E9-DD37-4946-ACF2-3B48BD2AC270.jpeg
F1345972-4CE1-4DDB-8B18-AA8CE5534AFD.jpeg
DE78AB96-2642-49BB-B817-DA3FAB55AF87.jpeg
F76BF51F-4AD5-4319-A36C-097DD3119052.jpeg
 
estate zinajengwa na wananchi wakikenya wakina nani zaidi ya politician + investors na unajua kwann munajengewa estate ili maisha yenu muwe wapangaji coz ardhi hakuna na dream ya kumiliki nyumba hamuna ndio maana leo hushangai kuskia kenyatta anamiliki robo nzima ya kenya😂😂😂😂😂👏👏
ok. hao politicians na investors wakishamaliza kujenga huwa wanauza hizo nyumba kwa wananchi binafsi na kuwapatia hati miliki zote.
pia kuna Saccos... another form of harambee au merry-go-round.... it's pointless putting some sense into a bongoduni/ bongolala.

niletee source kutoka World Bank inayosema Uhuru anamiliki robo ya Kenya saa hii
 
wanauza kwa nani ikiwa 46% hamuna kazi au munanua wakati mukiwa kwenye ndoto??? unafkiri politician na investors wao wajinga sana nani atauza ardhi ikiwa anajua ardhi ni kitu muhimu sana kenya kuliko hata chakula

kazi investors and policians wao ni profit motivated utake usitake uta rent kwao kwasababu huna ardhi na huna ndoto za kumiliki nyumba mpaka yesu anashuka ndio maana leo hushangai 2.5 million people in nairobi muko kibera munaishi maisha zaidi ya wanyama🤗🤗🤗🤗
 
ok. hao politicians na investors wakishamaliza kujenga huwa wanauza hizo nyumba kwa wananchi binafsi na kuwapatia hati miliki zote.
pia kuna Saccos... another form of harambee au merry-go-round.... it's pointless putting some sense into a bongoduni/ bongolala.

niletee source kutoka World Bank inayosema Uhuru anamiliki robo ya Kenya saa hii
uniletee ushidi wakati huu hapa na ww hushangai unaona kawaida kabisa😂😂😂😂👏👏👏👏💉💉💉💉
alaf robo nyingine wanamiliki white setllers tena am talking of arable land
76F38E69-7E99-4248-8C9C-2C1D8D6446D4.jpeg
 
Back
Top Bottom