Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unafiki huu. Nawajua nje na ndani. Tafuta mahala pa kuelekeza ulaghai wako. Hatuhitaji kufarijiwa na wanafiki wanaotucheka kila uchao

Kwakweli wapeni tenda wachina tu,ingawa nao wana wenge kwenye ubora kama nyingi,but at least tutasema sababu ni wachina wamezoea kuunda vitu low quality.
 
so unatuonesha lile ambalo lilitakiwa kua na 42 ili utuamisnishe yote ni over 30 hapo lilipo halijafika 32floors so ?????
My friend by now Avic has 4 towers over 30+ floors. Hizo ni tatu tu, the tallest iko side ingine.
tapatalk_1539858753720.jpeg
 
labda dar ya 10 yrs back ndio munegusumbua lakini kwa sasa 2018 hahah munakazi ndefu sana wakenya yani kazi nzito😂😂😂😂💉💉💉💉💉
 
Unafiki huu. Nawajua nje na ndani. Tafuta mahala pa kuelekeza ulaghai wako. Hatuhitaji kufarijiwa na wanafiki wanaotucheka kila uchao
Hilo ndiyo tatizo lenu naongea nawe kwa fair play but unatoa ya moyoni yasiyo na misingi wala ukweli vitu unavyoamini si sawa watz tuko fair sana....
 
Back
Top Bottom