Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

diamond anaenda kukusanya pesa za kina elmatador na wenzake wampe pesa kwa wingi aje afungue miradi tu
Diamond haez tafuta hela kwa walala hoi...yeye ni mjanja...hatumii 1% ya akili km nyinyi hilo shamba wanaoliweza ni wahindi na waarabu...wengine wakiwambia wao ni wazawa
 
gorofa linalojengwa liangushwe na upepo mbona mengine hayakuangushwa ????? yani lianguke linalojengwa tu mengine yanayojengwa hua hayaanguki, baby girl mambo ya ujenzi wachia wanume we shugulika na kutandika kitanda 😀😀😀😀😀
Leta orodha ya majumba yalioanguka kenya kutoka mwezi jana...
 
Mtu hawezi kuwa mhindi halafu akawa Mtz, nimesha kueleza hapo juu mbona unakua na kichwa kigumu!! Hiyo hipo Kenya uko, Labda useme wa Tz wenye asili ya India au Uarabuni..
Mtoto wa nyoka nyoka ni nyoka tu...huez pingana na wahenga babaaa
 
Hamna kitu kama hiko.. uraia wa Tz hautolewi kienyeji. Nitajie mmoja ambae una mjua amekuja Tz nakupewa uraia. Mbona lipo clear hili, hao akina bakhressa ata baba zao ni wazawa wa Tz.
Mbwa hazai mbuzi mzee baba
 
HAPA RECEPTION YA UBUNGO PLAZA KUNA MODEL YA LARGEST MALL IN EAST AND CENTRAL AFRICA ITAKAYOJENGWA NDANI YA STEND YA MKOA PINDI IKIHAMA MWENYE KAMERA NZURI AJE ACHUKUE AWAONYESHE WATANI WA NYAYO
 
Mmmm!!!mbna akina wema wanajiuza basi km mabilioni yanamwagwa kibao...alafu umaskini bado uko pale pale...km ni habari za ccm..hzo basi ni propaganda
yule hajiuzi wema anapesa ya kukulisha wewe na familia yako miaka mitano bila kufanya kazi 😂😂😂😂💉💉💉💉
 
Diamond haez tafuta hela kwa walala hoi...yeye ni mjanja...hatumii 1% ya akili km nyinyi hilo shamba wanaoliweza ni wahindi na waarabu...wengine wakiwambia wao ni wazawa
dimond kawakamata ipasavyo natumai na ww utampa pesa yako plz😂😂😂👏👏
 
HAPA RECEPTION YA UBUNGO PLAZA KUNA MODEL YA LARGEST MALL IN EAST AND CENTRAL AFRICA ITAKAYOJENGWA NDANI YA STEND YA MKOA PINDI IKIHAMA MWENYE KAMERA NZURI AJE ACHUKUE AWAONYESHE WATANI WA NYAYO
sawa tumekuskia.
tuko hapa tu, tunasubiri ihame
 
Kumbe vipi zile facts za Twitter..au yale pia si maoni ya watu...imekuuma..
nilishawah kukwambia twitter hakuna upuuzi kule ni watu wanaojielewa bahati nzuri twitter nayoleta mie inahusian na KTN NTV the citizen sasa na hzo unakataa😂😂😂😂😂😂👏👏👏👏
 
Back
Top Bottom