Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Laporomoka jingine , Majengo ya Kenya banaView attachment 911740
wow!! nyumba za ghorofa hadi vitongojini... tena ghorofa 8 na ilifaa ifike ghorofa kumi na hatuna mbwembwe. tumetulia tuli! yaani ni jambo la kawaida sana.

sasa nyinyi nyumba zenu hazina ghorofa, ni saa ngapi itaporomoka? na laiti mukipata jumba la ghorofa kama Mbeya City, lazma muchinje ng'ombe.
 
Kumbe we pia umeona vile IQ yake iko chini. Wakenya tunajua Tz iko na umasikini but hutapata tukiweka picha zao hapa. Sasa Ichoboy anapost watu maskini hapa as if ako sure wajukuu wake watakuwa matajiri. In future utapata wajukuu wa hao ambao anawapost ndio wana anika watoto wa Ichiboy wakiwa Tandale hapa
Jichoboy is it necessary to expose some stuffs here? Am gentle and I respect the poor unlike you .Many are watching and reading what we post here.
 
kitu ambacho tanzania tumeanza muda leo ndugu zetu ndio wanatafuta shuka kumekucha😂😂😂😂👇👇👇💉💉💉

💉💉💉💉💉💉👇👇👇👇👇👇👇
14F21B6B-1D01-4CA0-9C80-69A213D19B7B.jpeg
8EFD861E-7582-40ED-90B5-484CC9850F12.jpeg

0349EAC1-4621-4655-BFB1-6322EFAB79D3.jpeg
F5992012-CB15-4011-B9BF-9EB097457625.jpeg
 
Kumbe we pia umeona vile IQ yake iko chini. Wakenya tunajua Tz iko na umasikini but hutapata tukiweka picha zao hapa. Sasa Ichoboy anapost watu maskini hapa as if ako sure wajukuu wake watakuwa matajiri. In future utapata wajukuu wa hao ambao anawapost ndio wana anika watoto wa Ichiboy wakiwa Tandale hapa
Hilo siwezi. Si vizuri kuanika watu humu ama kutajataja majina yao kiholela. Ni watu wengi sana wanafuatilia tunachoandika humu na picha zinazopostiwa pia.
munalia na ichoboy sasa awasaidie nini??? umaskini wakwenu ichoboy anahusika vp😂😂😂😂💉💉💉💉💉
 
wow!! nyumba za ghorofa hadi vitongojini... tena ghorofa 8 na ilifaa ifike ghorofa kumi na hatuna mbwembwe. tumetulia tuli! yaani ni jambo la kawaida sana.

sasa nyinyi nyumba zenu hazina ghorofa, ni saa ngapi itaporomoka? na laiti mukipata jumba la ghorofa kama Mbeya City, lazma muchinje ng'ombe.

Wewe huna akili.
 
Ha haatizama na hicho kibanda kingine cha mbele yake soon nacho kitadrop

Kweli yajayo yanafurahisha
Utapata taabu sana kijana. Endelea kufurahishwa na mapungufu ya Kenya huku ndugu zako wakiteseka. Mmechukua hatua gani kusaidia wale wanaoporomokewa na nyumba za tope kule mashinani?
 
kuna siku ulinambia nikuoneshe building gani ime collapse hvi karibuni sasa mm nakuonesha ya leo

waleteni engineer wenu waje kusoma huku tafadhalini sana engineer anasema wind ndio imeangusha mbona building zingine hazikuanguka???
Ulikosa ndio ukaomba moja ianguke ndio uniletea....vp kuhusu ya jana juzi na last month...naona umeleta ya leo na kujipiga kifua...na si umesema ni kila siku...leta za siku zilizopita pia...hta kesho pia ukipata utaniletea
 
Back
Top Bottom