ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
sasa imagine masai mara kuna hotel zimedrop mpaka 20usd per night yani watalii hakuna na niswali la kujiuliza sana kwann wao walipoanzisha VAT kwenye tourism wakafeli alafu wakatoa tulipoanzisha sisi tukafaulu na bado revenue imefika 2.4b usd last year wao wamekusanya 800m usd alaf anakuja waziri wao balala analeta hoja za kitoto eti tanzania ina hoteli za kisasa zaidi kuliko kenya 😀😀😀😀😀😀 yani hua hawataki kukubali direct kua wamezidiwaUmefuta mwaka ukasahua kufuta Raila Odinga kuwa prime minister!! Hii ni TBT msee, mlifanya yote haya na bado tuna wakalisha kwenye kuvutia watalii na ku generate revenue. Jipangeni upya



