Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Diamond and his WCB group (Tanzania's finest I guess,,,) watakua wanavuka kuingia mwaka mpya (2019) ndani ya 254.
 
Westy
tapatalk_1540065740260.jpeg
tapatalk_1540065712253.jpeg
 
Duuu... Lazima uwasujudie wazungu, eti " hata ulaya wanaitambua" mtumwa namba moja, no wonder Malema aliwastukia kwamba Kenya is not a free country.
Heheeee!!!povu..kila kitu bongo zero...
Km wazungu hamuwataki reli mngejenga wenywe..waafrika halisi wasiopenda vitu vya wazungu...hta hzo simu mnazotumia ni made in tanzania pia.
 
Kibera imebeba 60% ya waishio nairobi,naamini kati ya hawa mungiki wanaoleta blah blah hapa jf 99% kati yao wanaishi kibera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Weka akilini hyo fact ili uje uwambie wajukuu zako km ulivyoambiwa na babu yako
 
kuna nyumbu zilisema tanzania ina 1200MW na sasa tanzania ina 1600MW[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122] hapo bado stiglers


 
Back
Top Bottom