Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You are blinded by patriotism ichoboy. You deny everything negative about Tanzania. Does your country have poor people, do people get ill, do people violate the law?
 
What I know about kibera is this. It's just a small constituency within Nairobi with a population of 250000.
Hii ni hatari sana,Nimewah waambia Moshi manispaa kwa sensa ya mwaka 2012 walikua watu 180k kwa maana hyo kibera ina watu wengi kuliko Moshi mjini
tapatalk_1539854053663.jpeg
 
Watu 2.5M wanaishi hapa? Hata mtoto wa chekechea ana ufahamu mzuri kwamba hao watu wote hawawezi ishi katika eneo ndogo kama hilo. Tafadhali muanze kufunzwa jiografia
Umeambiwa watu milioni 2.5 NBO wanaishi kwenye slum kati yao laki 2 na nusu wanaishi kibera pekee sasa wewe unataka kubisha nn?
 
Back
Top Bottom