Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hatudevelop kuwapita ke tunadevelop kutoka kwenye umasikin na kuboresha maisha yetu ,it's okey ku bragg na vitu vidogo kwasababu tulikua matopeni kwa kipindi kirefu ...
Umemjibu kiutu uzima sana, we aren't looking to be the best in the world or whatever, we need to improve our standard of living.
 
Free primary and secondary education is brainchild of Moi's government but implemented in 2003 by Kibaki's government. So you can see who copied the other, a difference of 13yrs.
Hehehe, Mimi nimeanza darasa la kwanza 1997, and 1998 sikulipa karo hadi nahitimu 2003, nakumbuka My Lovely mother alinilipia wakati naanza darasa la kwanza.
 
Arusha..unamaanish kile kijiji cha bongo...
Dar yenyewe kw mombasa itapumulia mashine kw sekta zingine...
Hadi sasa sijaona kama kuna mji utaweza shindana na Arusha hapo Kenya ukiondoa Nairobi, I travelled all East African cities.
 
ilichapa...unajua maana ya kuchapa....
Wasee hyu anadaisha dar imechapa...hhhhhhh...leo naona umekuwa mkarimu kidogo...vp mwanza nayo..haijachapa km wenzake
Ask your fellow Kenyans who flocks to Arusha during holidays, they may at least shrink your ignorance.
 
Kweli wabongo vilaza...jf vijana wa kikenya wanawapeleka mbio humu ndani...alafu kuhusu elimu..hta ulaya wanaifahamu vizuri elimu ya kenya..ukisomea kenya unafanya kaZi popote pale...ndo manake madaktari wengi wa kenya na walimu wakishahitimu wanasepa..
Duuu... Lazima uwasujudie wazungu, eti " hata ulaya wanaitambua" mtumwa namba moja, no wonder Malema aliwastukia kwamba Kenya is not a free country.
 
1539968366048.png
 
Back
Top Bottom