Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Jionee huruma 🤣

IMG_5239.JPG
 
Nuclear plant tunapata by 2022...25000MW kwa mpigo

naona umeamka na ndoto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] pesa ya kurudisha mkopo wa mchina hamuna hio nuclear plant mutajenga na nn??? au mutaunganisha vinyesi vya kibera 2.5m at once[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

bora ya sie stiglers ishaanz ujenzi 2100MW[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Na by the time anaambia mababu zake hio stori kibera itakuwa high end estate [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa wajukuu wake watakuwa wakishangaa kwani anatupa mbao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]
Weka akilini hyo fact ili uje uwambie wajukuu zako km ulivyoambiwa na babu yako
 
Tumeshawazoea kw kupika data..si reli mlisema mtajenga kw pesa za ndani

phase 1 inajengwa kwa pesa za ndani 1.2b usd

phase 2 robo tatu ni mkopo na iliobaki pesa ya ndani

kwa kukumbusha tu reli inayojengwa tanzania ndio the modern electric railway in africa under european standards[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Back
Top Bottom