Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngoja uone Ichoboy akipinga. Tuusan said clearly that free education started in 2016 alaf someone comes here ati ilianza during mkapa.
Jichoboy is always like that. Kupinga kila kitu. Hata ukimshw ye'hubonga na mdomo atapinga na kusema ye'hubonga na knuckles.
 
unapo ni quote hakikisha una jambo la maana sana kuniambia
Kwhyo kuhusu umaskini wa tz si muhimu kwako...heheee!!!ukwel unauma kumbe...30ml of your people are suffering en you are here yapping like a small boy...hoo kenya ni maskini..na wakati mumetuzidi katika hyo sekta...

Haya nakusubiria..njoo uteme povu sasa
 
Kwani kenya na mombasa zinafikia GDP ya ethiopia???
Imekuuma...hhhh!!!!
203px-Flag_tz-sansibar_2005.jpg
 
This article is about the Articles of Union of Tanganyika and Zanzibar. For the Articles of Union of England and Scotland, see Treaty of Union. For the Articles of Union at the Council of Florence, see Laetentur Caeli .
The Articles of Union of Tanganyika and Zanzibar of 1964 is the main foundation of the Constitutions of the United Republic of Tanzania of 1977 and the Zanzibar Revolutionary Government of 1984. The Articles of the Union were signed on April 22, 1964 by the Founders of the Union,
Julius Nyerere and Abeid Amani Karume and agreed in 11 matters which later increased to over 22 and are the source of tension and dispute between Tanzania mainland an..

Chekini wasee wameungana ila bado wanapumulia mashine...

Huu muungano ni wa vipofu na viwete...
 
Then ur point is????

Unaumia sana kuona huu muungano ama nini???
 
Then ur point is????

Unaumia sana kuona huu muungano ama nini???
Huo hta haumizi...mnajisifia na zenji wakati mumeumgana ila bado mna mark time tu...
Kwel jamani..nchi mbili zimeungana ila karibia kila sekta mnaburuta mkia...aibu sana
 
Huo hta haumizi...mnajisifia na zenji wakati mumeumgana ila bado mna mark time tu...
Kwel jamani..nchi mbili zimeungana ila karibia kila sekta mnaburuta mkia...aibu sana

Mark time ya kufanya nini!!!!

Wewe ulitaka tuweje baada ya kuungana embu niambie!!maana umeubebea mimba muungano wetu eti!!!!
 
Hivi nyie wakenya mbona akili zenu ni zero!!??! Tanzania kwanza shule ya msingi hadi sekondari ni bure bure bure.. .....
Wewe mtoto nilikuonya dhidi ya kuninukuu. Uwe unaninukuu kama una hoja muhimu. Sasa ukitwambia tuna akilizero nasi tutawaambiaje?
 
Back
Top Bottom