Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ni sababu saidizi,sababu kuu ni kwamba ajira hamna.si unafahamu ajira zinatengenezwa???

Sasa kwa sababu kenya inaongoza kwa elimu bora africa,nchi yoyote africa mna value sana.kwanini hamtoki hapo kwenda kutafuta ajira nchi zingine??
Wanapenda kuvaa tai. Ila wenzao wajanja wapo tz wanalima nyanya/chungu/bamia na baada ya muda wanarudi kwao ke na kufungua mashamba ya mbogamboga.
 
In Tz this is not happening, some of the student's are getting loans for fees,accommodation and other charges some are not
Wacha kua mpuzzi free primary and secondary ilianza 2002 enzi za kibaki
 
😂😂😂😂nimecheka sana leo.
Free education was initialised in tz in the year 2016 In Kenya from 2003uptodate and people here are saying we copied from them? Dunia simama nishuke😂😂😂
 
Close range tena mchana
View attachment 903161
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji116]
IMG_7730.JPG
IMG_7728.JPG
 
kwanza msafishe hii beach yenu...see pspf or whatever you call in the background.
View attachment 903247

so unataka kutudanganya kua hapo ni dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]

tafuta mji wowote east and central wenye level hii[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_6702.JPG
IMG_6703.JPG
 

Attachments

  • IMG_6702.JPG
    IMG_6702.JPG
    37.7 KB · Views: 44

Attachments

  • tanahouse.jpg
    tanahouse.jpg
    151.4 KB · Views: 39
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka sana leo.
Free education was initialised in tz in the year 2016 In Kenya from 2003uptodate and people here are saying we copied from them? Dunia simama nishuke[emoji23][emoji23][emoji23]

elimu bure tanzania ilianza toka kipindi cha mkapa ndugu we are talking of 23 yrs ago
kabla hujaongea jambo hakikisha una uhakika na jambo lenyewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Tupe location ya mpiga picha alikaa wapi[emoji1][emoji16][emoji1][emoji16][emoji16]nataka nikukamate leo.

hahaha kachanganya mada leo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anakwambia hapo dar sasa hata location sijui hapo ni wapi
 
I always honour my promises.
Someone in here confirmed it's 2016.
No need to argue .It was a Tanzanian by the way

ongea jambo ukiwa na full evidence hapa sio kijiwe cha kahawa free education in tanzani imeanza since mkapa period [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom