Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaa ukikata viuno hapo,nakwambia mtataga nyinyi.

Kwanza mbona pinancle hamuileti humu siku hizi,jamaa wameondoka site nini???
Luna kesi kortini kuna watu wawili walijitokeza wakasema Wana miliki hio ardhi/ploti kwaivo developers wa pinnacle wakamriswa na mahakama wasitishe ujenzi Hadi kesi iamulie ....sasa sijui uamuzi utafanywa lini...
IMG_20181017_124859.jpeg
IMG_20181017_124823.jpeg
 
😂😂😂😂😂😂umenena.Huo ni ukweli kabiiiisa. Yaani watu wanatutusi monkeys na si kiutani wako serious. Wako na roho mbaya sana. Wengine wamekuwa wakizitafuta picha zangu for awhile now to expose me like they did to msapere and mwasast. Watataabika sana. A Tanzanian can't bully me. Never
You can go now,we tanzanians don't need you in anyway,you stick in your motherfuckin' so-called JamiiForums.com hell there...what a hell do you wait??
 
😂😂😂😂😂👏👏👏👏👇👇👇👇
kenya haina uwezo hata kukaa masaa 2 bila chakula😆😆😆😆😆

 
Yaani mkoa ukiwa na barabara mbili za lami na labda waziri mkuu, rais au makamu anatokea huko basi utasikia rais aupa mkoa wa Simiyu hadhi ya jiji. Ni upuuzi tu wa wanasiasa.
hahaha.... aiseh!!!
ujuha huu.
only in Tz.
 
Back
Top Bottom