Yes we have Quality Group and Dar Coach doing such staffDo you even have automotive assembly in Tz?
alafu munakalia zege😂😂😂😂 hii dunia kweli haina hakiHome of champions.View attachment 900173
Kwahyo inakuaje hapa...
sgr to naivasha
Hii ni museum au uchafu gani huu !!??Home of champions.View attachment 900173
MamboKasarani stadium

SafiMambo![]()
I missed you.Safi
congrats folks but if you won't mind, i need to ask, kwani hiyo tunnel iko china au kenya? at 3:32?
not really.Mkuu utapata shida sana kama ulikua huwajui Wakenya ni wabaguzi sana haswa kwa makabila utakuta mara Luo man, this Kalenjin woman, mara kikuyu guy ni kama wanigeria vile hawawezi zungumnza kitu mpaka wahusishe kabila
heri yeye anajaribu.Aiseh mpaka sijaamini, nimeona video insta gigy akimwaga kingee, yan nikashangaa utadhan sio yeye , gigy anajifanyaga chizi but kichwani kidogo zimo, japokua anachanganya tense but she is so articulate , akijitahidi atafika mbali, hongera zake
Mmempata ama bado?I missed you.
Tumeshafanya.., kama si panenka ya Samatta kugonga besela basi tungelipa tatu mzuka za first leg. Tumejitutumua bana ili tusitie aibu East AfricaTuta ,tuta,tutaView attachment 899677
Heheee!!hta kufikiria hujui kumbeWe jamaa unaonekana ni kilaza sana tangu lini uingereza imeungana na france????
Watz tuna-argue na maandazi aisee
Naona amekuja mbio ku post kibera na wakati mwenzake ka post more than a half of dar...

Kumbe kibera...nafkria ni hta a quarter of nairobi km vile dar ilivyokuw slum km yote..duh!!,asikuletee uchuro hapa, organization ya wapi? yaani mtu yupo tayari kusifia slums kisa kutuchafua hahahhhaaahView attachment 898904View attachment 898905View attachment 898906View attachment 898907