Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 8,297
- 3,648
kwa hesabu ya haraka haraka hivi ziko kama ngapi?Gari zote za Dodoma zinahesabika
kwa hesabu ya haraka haraka hivi ziko kama ngapi?Gari zote za Dodoma zinahesabika
Yaani Tz majiji hamna, Eneo kubwa ambalo linapigiwa kelele Tanzania nzima ni Dar es Salaam sasa dar es salaam mitaa yake inachekesha sana, siku moja nilitoka magomeni makuti kwa miguu nikala boda naitaka pale komakoma mwananyamala yaani ni hatari tupu,
1. Nymba zipo varuvaru mlango wa mbele wa nyumba hii umeelekeana choo cha nyumba nyengine
2. Vinjia sio rasmi watu kupita mara unatokeza uwanjani watu wamekaa uanze kuwachupa chupa
3. Maji machafu watu wanamwaga mara yanakupata ya uso.
4. Saa nyengine inabidi usimame kumpisha mtu anaetembea kwa miguu kwanza apite yeye au upite wewe mana vinjia ni vyembambaaa au mugusane viuno kwa viuno au tumbo kwa kiuno
5. Shida kubwa nyengine niliyoiyona olewako sasa utake kurudi ulikotoka utapotea mpaka utapotea na tena hakuna njia strait wala alama zozote ni tafran tupu
kweli kabisa. yaani nyumba zimepangwa kama crossword puzzle.... vichochoro vingi hata hujui uendako wala utokako. kila sehemu ni shida tupuanaebisha abishe lkn huu ni ukweli
kila kitu ovyo tu.Kwanza mpangilio wa dar ovyo ,miundo mbinu,usafi ovyo
😂😂😂hizi posts unazitoa wapi lakini? That one above summarizes how darislum is. This thread should be closed/pulled down for that matterkweli kabisa. yaani nyumba zimepangwa kama crossword puzzle.... vichochoro vingi hata hujui uendako wala utokako. kila sehemu ni shida tupu
Unafananisha gofu na nyumba kamili hapo hahaha kijana umeishiwa
Zinatisha na bado hazijakamili....na zikitop out Mambo yatakua VipiUnafananisha gofu na nyumba kamili hapo hahaha kijana umeishiwa





Ni sehemu gani dar magari mengi kama haya yanapatikana? Sijapata picha yoyote humu ya dar ikiwa na traffic ka nai
Hahaha Tena InstagramMziki wetu Kweli Unapaa
Ila hapa nimependa vile Watanzania kwasasa Hawapitwi
Yaani Uzalendo Umeenea
Mtu akijidanganya anajibiwa
View attachment 901211View attachment 901212View attachment 901213
mostly kwenye Jukwaa la Habari na Hoja mchanganyiko😂😂😂hizi posts unazitoa wapi lakini? That one above summarizes how darislum is. This thread should be closed/pulled down for that matter
High end........
Dar slum hakuna Matajiri....Kwa hii picha niambie ni watu wangapi wanaonekana wanaeza afford gariNi sehemu gani dar magari mengi kama haya yanapatikana? Sijapata picha yoyote humu ya dar ikiwa na traffic ka nai





sasa nyumba zenyewe mpangilio wake, full vichochoro, mwanzo/ mwisho. binadamu kupishana kwa njia yenyewe ni shida bin tabu! itakuwa magari??Dar slum hakuna Matajiri....Kwa hii picha niambie ni watu wangapi wanaonekana wanaeza afford gariView attachment 901221
Sikuhz umesahau uap na britam kabisa haha kisa hayo magofu
sasa nyumba zenyewe mpangilio wake, full vichochoro, mwanzo/ mwisho. binadamu kupishana kwa njia yenyewe ni shida bin tabu! itakuwa magari??






