tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Hahaha we jamaa mturuki yuko vizur nae@tuusan njoo uone venye mchina anafanya kazi kimya kimya Hadi Raha yaani anajenga pillars kama Mia moja kwa mpigo saa zile mturuki ni maneno Tu pale posta anajenga nne kwa miezi mbili.