sevenup
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 2,548
- 2,448




















@tuusan njoo uone venye mchina anafanya kazi kimya kimya Hadi Raha yaani anajenga pillars kama Mia moja kwa mpigo saa zile mturuki ni maneno Tu pale posta anajenga nne kwa miezi mbili.sgr to naivasha
Bro kindly send me this pic without the yellow mark....
@tuusan njoo uone venye mchina anafanya kazi kimya kimya Hadi Raha yaani anajenga pillars kama Mia moja kwa mpigo saa zile mturuki ni maneno Tu pale posta anajenga nne kwa miezi mbili.



Kariakoo +upanga+posta yaani dar yotee kwa picha moja
Westy bado sana mzee baba..Hii naipa Tu WestlandsView attachment 900451
wewe tafuta kazi nyingine za kufanyaKumbe kibera...nafkria ni hta a quarter of nairobi km vile dar ilivyokuw slum km yote..duh!!,
we're flattered, you do realize that you are comparing Dar 2014 and Nairobi 2018 right?
Huu mpuzi ata hakua anajua maana ya cbd nini ndio nikakuita umuelezee,anasema kwa kiburi ati new York iko na cbd moja nilicheka yangu yote ....on a different topic what's make upanga and kariakoo cbds? kindly list the major local and international institutions headquartered in both boroughs....


???new york ina cbd moja nai ina nne,narudia tena nugu hujui maana ya CBD.Hahaaaaa ni nai pekee inatosha katika picha moja,spot all 4 cbds.mzee wa cbd😂😂😂😂Kariakoo +upanga+posta yaani dar yotee kwa picha moja View attachment 900555
Correction that is Westland Vs farwe're flattered, you do realize that you are comparing Dar 2014 and Nairobi 2018 right?


Sawa nionyeshe Westlands, parklands kilimani, kileleswa hapo alafu ukinionesha nahama jamii forum for life.,....picha ya 1974 miaka kumi baada ya kupata Uhuru ndio Una kurupuka nayo.....hii dar ya 2018Hahaaaaa ni nai pekee inatosha katika picha moja,spot all 4 cbds.mzee wa cbd![]()
BRT full blownView attachment 896065
I can't deal with a bunch of crazies like youCorrection that is Westland Vs far![]()
Kama huwezi kuelewa simple sentence kama izi hapa chini Mimi nahurumia shule za bongo....nenda karejeshewe school fee yako we pumbaYaani ulivyo empty kichwani una guts za kuni quote tena???new york ina cbd moja nai ina nne,narudia tena nugu hujui maana ya CBD.