Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha we wait, labda wameenda kupiga picha. Niliwaonyesha Karen na Runda na Hurlingham kiasi
I have like 20 more hoods waiting. Wacha wakipost zao nipost Muthaiga na Lavington. Later I will more
Utaona wakianza kupost picha za kibera hapo ndio utajua kwa nini literacy yao ni 60% Kenya ikiwa 90%
 
If you come to Nairobi you will hardly notice a slum..the good thing is we know there are slums and we are working on it
Acha uongo nimefika Nairobi nilitembea kidogo tu nikatokea gikombaa nilishangaa sana city centre kuna matope na nyumba za mabati ila kingine usalama mdogo nilichelewa kurudi hotelini wakaniambia unabaati chokoraa wangekukamata ingekuwa shida
Ukweli usemwe Nairobi ndogo sana na hayo majengo unayo post uku nimeyaona Kwa macho hayana uzuri wala urefu was kutisha maana nilikuwa si angalii minara kumbe nyie mnahesabu adi minara unakuta half ya jengo ni mnara
 
Ulitembea wapi Nairobi? Westlands, upperhill, Nairobi west, etc?? Na mnara ni part ya jengo, not all Kenyan towers have minaras btw. But ata burj mnara unahesabiwa, sijui why this is stinging you guys. Apart from that, wanajenga jengo la 330m bila mnara basi, na lingine 201m na lingine 182m. As we speak
Gikomba ni soko, Nairobi yote inakaa Gikomba?
 
Back
Top Bottom