Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 31,297
- 33,539
Na mahindi ya Eldoret[emoji23][emoji23][emoji23] *Unga na nunua ya Jogoo.
*Mboga nanunua ya Central.
*Nyama nanunua ya Kiserian.
*Maji nakunywa ya Ndakaine.
*Maziwa nakunywa ya Brookside.
*Chai nakunywa ya Kericho.
*Sukari nakunywa ya Sony na Kabrass.
*Samaki nakula ya Kisumu.
#MNATULISHA UJINGA AMA?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]