Hapo ndio kuna maelezo yote ya jinsi division zinavyopatikana, kwahiyo tukisema mtu kapata Division one uwe unaelewa jinsi inavyochakatwa.
Pia jambo lingine zuri Tanzania ni kuwa si kila mwanafunzi aliepata vizuri basi lazima atataka kusoma Udsm. Hii ni kwa sababu tuna vyuo vingi ambavyo ni special kwa fani mbalimbali. Mfano
Muhimbili University ni kwa ajili ya fani za afya tu
Ardhi university ni kwa ardhi tu
Sokoine university ni kwa ajili ya kilimo tu
IFM ni kwa ajili ya finance and related courses.
NIT Ni kwa courses za transport
Mzumbe University ni kwa courses za biashara na uongozi
TIA ni kwa courses za uhasibu
MUST, DIT na ATC ni special kwa engineering tu.
Udom na Udsm ni general
Kwahiyo karibu sana Tanzania kwa ajili ya kusoma. Pale University of Dodoma tuna nafasi 40,000 (zote on campus ). Na bado hazijajaa.
Hapo chini ni combinations mbalimbali za A level
View attachment 895412