Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

so is that nairob????? 😀😀😀😀😀 adiss ababa ni level ya nairobi lakini sio level ya dar my friend
to have one building with 40 floors and to have more than 8 buildings with 35floors wapi unaona raha kwako
NHIF wanataka kujenga 70 floors building. Muda sio mrefu renders zinatoka na ujenzi kuanza😂😂😂
 
NHIF wanataka kujenga 70 floors building. Muda sio mrefu renders zinatoka na ujenzi kuanza
Na pia kuna proposal iko chin kwa chin bado ya kujenga 60floor tower Dodoma kwa ajili ya wizara zote.. Ila ni plan tu so lets wait and see
 
Nairobi, Loresho estate

7940432_img20181011214753_jpege0d20463b63e91c82008d8cc7cdd8124

7940433_img20181011214732_jpeg17bbb81f05dc830d68003a4854b11599

7940435_img20181011213329_jpeg52e821ea01060568763ffb7155d7110f

7940754_img20181011220417_jpegf6ef66a7c747eb0baec17985134be911
 
I dare you to bring those 8+ buildings with 35flrs here.
Tuko nazo 5 to name them
1.Pspf tower A 35flr
2.Pspf tower B 35flr
3.TPA Tower 35flr
4.Mzizima tower A 35flr
5.PPF tower 35flr

Bonus buildings
1,2.Mnf towers A and B 30flr each
3.Mzizima tower B 33flr
4.RITA tower 30flr
5.millenium tower 30flr

Tafuta wembe buda umeze dar imeshawapiga chini
 
Tuko nazo 5 to name them
1.Pspf tower A 35flr
2.Pspf tower B 35flr
3.TPA Tower 35flr
4.Mzizima tower A 35flr
5.PPF tower 35flr

Bonus buildings
1,2.Mnf towers A and B 30flr each
3.Mzizima tower B 33flr
4.RITA tower 30flr
5.millenium tower 30flr

Tafuta wembe buda umeze dar imeshawapiga chini
Are those 8???
 
*Unga na nunua ya Jogoo.
*Mboga nanunua ya Central.
*Nyama nanunua ya Kiserian.
*Maji nakunywa ya Ndakaine.
*Maziwa nakunywa ya Brookside.
*Chai nakunywa ya Kericho.
*Sukari nakunywa ya Sony na Kabrass.
*Samaki nakula ya Kisumu.

#MNATULISHA UJINGA AMA?
Uliona kuna sehemu tuliandika kuwa tunawaombeni msaada? Mlifanya kwa matakwa yenu, kumbuka tunawalisha hadi sembe
 
*Unga na nunua ya Jogoo.
*Mboga nanunua ya Central.
*Nyama nanunua ya Kiserian.
*Maji nakunywa ya Ndakaine.
*Maziwa nakunywa ya Brookside.
*Chai nakunywa ya Kericho.
*Sukari nakunywa ya Sony na Kabrass.
*Samaki nakula ya Kisumu.

#MNATULISHA UJINGA AMA?
yani hadi maziwa ni lazima ununue ya brookide?hakuna kampuni zingine?
Sasa uku vyote ulivyotaja vinapatikana mtaani maziwa yasionajina maalumu unga unasaga mwenyewe mboga unalima mwenyewe ng'ombe nyama zipo zakutosha samaki ziko aina zote !!maisha yenu yako juu kisa ujinga
 
Back
Top Bottom