Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😀😀😀halafu Anna anaturingia na tuhesabu twa substitution na integration. Kuji-console zaidi anadanganya periodic table inafanywa na watoto wa primary huko kwao. Geography ya class 4 inafunzwa form 3.good definition of an LDC country with LDCic minds
Mtanzania kwa social media ni kelele tu lakini ngoma ikianza anabaki hoi bin hoi...hawa hata tuweke UDSM vs MKU kwa contest ya hesabu mku can whitewash them clean
 
Lazima kieleweke. Kwanza wakubali elimu yao ni duni ndio tuendelee. Wanaringa na PCB unaweza dhani ni kitu complicated. Kumbe ni visayansi wanatry ku glorify.Mwingine alisema Kenya hatufanyi practicals kama titration ya chem. Tuliifanya form 3.wao wanaifanya form 6
Mwanafunzi wa Kemia form 3 Tanzania anafanya Practicals zote 3
Qualitative analysis, titration na chemical kinetics. Pia mwanafunzi wa A level anafanya Practicals hizohizo lakini zinakua more advanced kuliko za O level. Nadhani hapa tumemalizana.

Lakini what matters ni umefaulu haijalishi ulisoma kenya au Tanzania kwa sababu ukiwa daktari Kenya hakuna kitakachokuzuia kuwa daktari Tanzania. Ndio maana kenya waliagiza madaktari kutoka Bongo baada ya wa huko kugoma. Jiulize sasa kama Sisi tuna elimu duni kwanini Kenyatta asiombe kwingine ila akaja Tanzania??.

Huwezi mkuta mwanafunzi wa A level bongo anasoma kitabu cha kenya hata siku moja. Katika chemistry vitabu vyetu ni hivi S Chand conceptual chemistry for class Xi,(form 5) S Chand conceptual chemistry for Xii(form 6 ) na Rasmden A level Chemistry
 
Lol.vihesabu vya form 2
Mmmh we dada hebu jaribu kufanya utafiti syllabus y advanced Ed y nchi zilizoendele eg UK ili kuenda Higher ed, syllabus zao zikoje.
Africa tunacomplcte xanaa, Tunafundisha mivitu mingi mno kwa time flame ndogo, hasaa Tz.
 
nairobi imeshindwa kukimbiza itakua hio mombasa😂😂😂😂😂😂
Huyu jamaa ana ingia JF akiwa amevuta Bangi. This is a Donkeys penis city👇👇👇
nairobi.jpg
 
Mwanafunzi wa Kemia form 3 Tanzania anafanya Practicals zote 3
Qualitative analysis, titration na chemical kinetics. Pia mwanafunzi wa A level anafanya Practicals hizohizo lakini zinakua more advanced kuliko za O level. Nadhani hapa tumemalizana.

Lakini what matters ni umefaulu haijalishi ulisoma kenya au Tanzania kwa sababu ukiwa daktari Kenya hakuna kitakachokuzuia kuwa daktari Tanzania. Ndio maana kenya waliagiza madaktari kutoka Bongo baada ya wa huko kugoma. Jiulize sasa kama Sisi tuna elimu duni kwanini Kenyatta asiombe kwingine ila akaja Tanzania??.

Huwezi mkuta mwanafunzi wa A level bongo anasoma kitabu cha kenya hata siku moja. Katika chemistry vitabu vyetu ni hivi S Chand conceptual chemistry for class Xi,(form 5) S Chand conceptual chemistry for Xii(form 6 ) na Rasmden A level Chemistry
University physics enzi hizo unit ni lbs. Roger muncaster. Tom duncan. Schrodinger eqtn. Waache matani na use of oxygen
 
If you wanna have fun at anytime,please visit Tanzania..they have the best traditional African entertainment groups,infact your 1000 British pounds will keep you entertained for a whole week.....like the dude above you will be entertained properly,but that is as far as you can go...if you want to invest billions of dollars in hotel industry and entertainment the place is Kenya...the prince while in Kenya visited the British soldiers setting up a camp in nanyuki and his country of birth just confirmed they are setting up a 2000 bed capacity hotel in upper-hill Nairobi...so in recap have fun in Tanzania but put your money in Kenya and everyone is happy.
 
Mtanzania kwa social media ni kelele tu lakini ngoma ikianza anabaki hoi bin hoi...hawa hata tuweke UDSM vs MKU kwa contest ya hesabu mku can whitewash them clean
Nairobi university hushindana na vyuo vya S.A among top 10.Hata vyuo vya naija havioni Nairobi. K.U ni no.30 while UDSM ni 32.sijui huko kwao wanasoma miaka mingapi chuo kikuu.
 
Kuna siku nilikua na wakenya wawili mahali nje ya Africa. Mmoja wa Mombasa huyu yuko poa sana na anaongea swahili safi. Watanzania tulikua tunampenda sana akawa rafiki yetu sana. Ila huyu wa Nairobi alikua anawadharau sana watu wa Mombasa na kuwaita wavivu hapa aliniudhi sana.
95% ya wa mombasa iwapo leo ipite kura ya maoni kati ya kwenda kuwa upande wa Tanzania au upande kenya,watachagua Tanzania
 
Nakushauri upekue hata kama ni mitandaoni uangalie chemistry ⚗ practicals za form 3and4.pia usisahau kuniletea mtihani wenu wa form 4
 
University physics enzi hizo unit ni lbs. Roger muncaster. Tom duncan. Schrodinger eqtn. Waache matani na use of oxygen
Ukiweza kutembeza maswali ya muncaster basi we kidume. Ukitoka hapo unaenda kwa mababu mawili (Nelkon na university physics ) then unapumzikia Tom Duncan. Siku hizi imeongezeka S Chand conceptual physics.

Ila schrodinger noma sana aisee
 
Nairobi university hushindana na vyuo vya S.A among top 10.Hata vyuo vya naija havioni Nairobi. K.U ni no.30 while UDSM ni 32.sijui huko kwao wanasoma miaka mingapi chuo kikuu.
Ndani ya miaka hii kumi Udsm ilikuwepo top 10, imedrop ndani ya hii miaka 5 iliyopita. Kwahiyo usijidai kama vile hiyo nafasi hatujawahi kushika. Wakati Udsm ipo top ten UON haikuwepo.
 
Ndani ya miaka hii kumi Udsm ilikuwepo top 10, imedrop ndani ya hii miaka 5 iliyopita. Kwahiyo usijidai kama vile hiyo nafasi hatujawahi kushika. Wakati Udsm ipo top ten UON haikuwepo.
Sitakuitisha evidence lakini naomba uniambie ni mwaka gani huo?
 
Back
Top Bottom