Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daah kweli kaka..umenikumbusha mbali sanaa walikua wanawapeleka Uganda na Kenya halafu wakawa wakirudi na Kiingereza kingi kichwani maarifa empty. Kenya ninachokubali wanatushinda ni Kiingereza tu na ndo mana wakija huku wanakuja kufundisha Kiingereza tuu na makazini ktk maofisi wanakuja kufanya marketing sababu ya Kiingereza. Sijawahi kuona Injinia na dakitari anaeweza kuja ku compete hapa Bongo.
nakumbuka rafiki yangu mmoja alikuwa kilaza sana class. wazazi wake walikuwa wapo vizuri kwenye suala kipato, so wakaamua kumuhamishia kenya.

wapo wengi sana sema ni ngumu kupata data kamili.
 
naona leo umekiri kuwa wewe ni housemaid... thank you.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1241][emoji1241][emoji1241]
 
Mschewwwwwwww! Eti kilaza housemaid.you bully unikome kabisa. Wewe ni bure kabisa. Unaleta hisabati na hujui chochote hapo. Bastard
 
The one Africa takes westlands into another level.
30240883917_d30b3dbe2e_b.jpeg
30240533917_08e67ef68c_b.jpeg
44456801054_209c95858f_b.jpeg
45179076871_5637f45b73_b.jpeg
 
Mombasa inakimbiza Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yet you still find some fools comparing it to Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]
yow bro...this is kenya



Kenya

7899200_c1_jpeg2fd9d853a11774e5cebbf10b0a4e6eaf

7899201_c2_jpeg86070751b8235caec7e069df4df7a8c3

7899202_c3_jpeg7539014d4bb662c2907c83b9b664f4f9

7899203_c4_jpgfeba266dcac7a6a92d3f3b14dd6296c8


7899219_V1_jpg0932c2774cb3e7467a6fc4e6390e0676

7899220_V2_jpg245dae8f5a00d6bdaf1124a2c51c0100

7899221_V3_jpg10bde063ccda1aa7eaba88fa60f2ce00

7899222_V4_jpg3b08fc205e7e2c058d63df8f54e3879d



7899538_b1_jpeg8967340938e2716aeb20cee4ac362bfc


7899539_b2_jpega4c87d01a60c71e2f6b6f4bc06e914af


7899540_b3_jpeg227387575f702aed07d5137ae85c29b5


7899541_b4_jpeg3da6cda1cb6585f26d0a0125b1f45a79



7899347_c5_jpeg577f1a6e9f4c06136bd5ebbec5b800bf

7899348_c6_jpeg2af37364c2bdd98a9a5464c7096c1dd2

7899349_c7_jpeg10e56ce4dd1f0f4ef49d41502aad8f85

7899350_c8_jpege308622fa44b76b8afa329e08a762838
 
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe hivi ndio mwanaume huskia akicatch mafeelings[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Buda Kenya is a capitalized Nation! Hakuna kitu ya mtu huku. Mombasa port ni Mali ya Mombasa County/Uganda/KRA/Kenya Navy. Utangoja sana Port ya kenya kunyakuliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kwani hatuna malls, kwani cruise hips hazijawahi kufika Dar port? kwani hatujengi sgr? tena yenu mnaliwa hela na wachina na ninasikia karibia wachukue mombasa port. Serikali yenu iko desperate sana sasa hivi kufuta deni na china mpaka wakatoa proposal ya kutax gasoline up to 16% halafu unataka kuniambia hivyo ni vya kwenu? majengo sio muhimu kama seriakali au wananchi hawafaidiki na chochote.
 
Mombasa inakimbiza Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yet you still find some fools comparing it to Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]
nairobi imeshindwa kukimbiza itakua hio mombasa😂😂😂😂😂😂
 
Mombasa inakimbiza Dar[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yet you still find some fools comparing it to Mwanza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji4][emoji4][emoji23][emoji23]

Mombasa inakimbiza panya sio dar,hii mtaro ni ya kupitisha majitaka🤣🤣
 
Back
Top Bottom