Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

unakumbuka zain africa challenge vile walikuwa wakichujwa wote round one hahahaha..................kelele ndio wamejuanga kupiga
Lazima kieleweke. Kwanza wakubali elimu yao ni duni ndio tuendelee. Wanaringa na PCB unaweza dhani ni kitu complicated. Kumbe ni visayansi wanatry ku glorify.Mwingine alisema Kenya hatufanyi practicals kama titration ya chem. Tuliifanya form 3.wao wanaifanya form 6
 
wanatuogopa hawawezi dhubutu kuja kusoma huku Kenya.......form 5 and 6 is a certificate or lower diploma sort of a thing
 
people still living in the zinjanthropus era. Mfumo wa 1970's Kenya ndio wanautumia. So pathetic
lol....................mfumo wa enzi za babu zetu.......dynamism is inevitable................the world is changing.....................nowonder wasee wamekwamia ldc list ya aibu duniani
 
lol....................mfumo wa enzi za babu zetu.......dynamism is inevitable................the world is changing.....................nowonder wasee wamekwamia ldc list ya aibu duniani
😀😀😀halafu Anna anaturingia na tuhesabu twa substitution na integration. Kuji-console zaidi anadanganya periodic table inafanywa na watoto wa primary huko kwao. Geography ya class 4 inafunzwa form 3.good definition of an LDC country with LDCic minds
 
Question one in kcse normally covers form one work......there's what we call paper one ,two and three in any subject...
Paper one-form one and two
Paper two-form 3 and 4
Paper 3-practicals or set book
Point yangu ni kwamba sisi tunawazidi elimu ya high school kaka, nikikupeleka advanced level ya combination ya PCB hapa bongo au combi yoyote ya sayansi asee utajuta kuzaliwa ndugu yangu. Kwa kifupi sijaona kipya kwenye shule yenu mnayoita ya upili kwa maana vyote vinasomeshwa huku O'level.
 
Leta papers tuone mliscore nini.......kelele mingi ya nini......mmekwama kwa mfumo wa 1977 ati mnajipiga kifua.....Lol...if you add those years utapata it's one and the same thing......the difference is did you pass or fail?....period

Unahamisha goli *****,swali moja umefanya siku nzima sijui umetembea shule ngapi kutafuta msaada!!!??
 
Unahamisha goli *****,swali moja umefanya siku nzima sijui umetembea shule ngapi kutafuta msaada!!!??
it took him the whole day to solve one question, kama angekuwa kwenye chumba cha mtihani angefeli cos time management ni very limited kwenye chumba cha mtihani
 
wanatuogopa hawawezi dhubutu kuja kusoma huku Kenya.......form 5 and 6 is a certificate or lower diploma sort of a thing
fanya uchunguzi wako vizuri acha kukurupuka.

mid 90s mpaka mid early 2000s wazazi wengi wenye kipato cha kati hapa tz walikuwa wanasomesha watoto wao katika sekondari za kenya.

sababu pekee ilikuwa ni kukwepa ushindani mkali wa ufaulu hapa tz.hapa utapata kundi kubwa la vijana waliofeli national exams nchini tanzania kukimbiziwa kenya na kuanza kurudia madarasa.

pia wazazi wengi walikuwa wanamini kuwa kingereza ndio kila kitu so walikuwa wanaleta watoto kenya ili wapate experience ya kuzungumza/kuandika kengereza.

by then serikali ilikuwa haijaruhusu watu binafsi kumiliki shule. shule karibia zote zilikuwa zinamilikiwa na serikali na taasisi za kidini.
 
naona wameanza tena zile dharau zao baada ya kupita siku kadhaa. msidhani tumesahau.

tapatalk_1539240055072.jpeg
tapatalk_1539240057525.jpeg
tapatalk_1539240059873.jpeg
tapatalk_1539240062627.jpeg
 
fanya uchunguzi wako vizuri acha kukurupuka.

mid 90s mpaka mid early 2000s wazazi wengi wenye kipato cha kati hapa tz walikuwa wanasomesha watoto wao katika sekondari za kenya.

sababu pekee ilikuwa ni kukwepa ushindani mkali wa ufaulu hapa tz.hapa utapata kundi kubwa la vijana waliofeli national exams nchini tanzania kukimbiziwa kenya na kuanza kurudia madarasa.

pia wazazi wengi walikuwa wanamini kuwa kingereza ndio kila kitu so walikuwa wanaleta watoto kenya ili wapate experience ya kuzungumza/kuandika kengereza.

by then serikali ilikuwa haijaruhusu watu binafsi kumiliki shule. shule karibia zote zilikuwa zinamilikiwa na serikali na taasisi za kidini.
Daah kweli kaka..umenikumbusha mbali sanaa walikua wanawapeleka Uganda na Kenya halafu wakawa wakirudi na Kiingereza kingi kichwani maarifa empty. Kenya ninachokubali wanatushinda ni Kiingereza tu na ndo mana wakija huku wanakuja kufundisha Kiingereza tuu na makazini ktk maofisi wanakuja kufanya marketing sababu ya Kiingereza. Sijawahi kuona Injinia na dakitari anaeweza kuja ku compete hapa Bongo.
 
Back
Top Bottom