uzuri hapo youtube unapoojisifia sijawahi ona meaningful discussion kuhusu tz na kenya.
only thing that i witness is kenyan youth talking about how sweet is our music.
fact
View attachment 880193
Ouch!....
uzuri hapo youtube unapoojisifia sijawahi ona meaningful discussion kuhusu tz na kenya.
only thing that i witness is kenyan youth talking about how sweet is our music.
fact
View attachment 880193
That's why you are failed state!😅😅😅😅😅😅😅nimecheka sana. Yaani mtu anakaa baba ya babu owino .eti ni young😅😅😅Jaguar is even younger. Infact Kenya has many young politicians
ahahaha hzo ni hasira sasa 😂😂😂😂😂grants ni kitu ya kawaida kwa third world countries...........its the proceeds from what they have stolen in Africa especially the congo that they bring back packaged as 'aid' or 'grant'
naomba usuni quote tafadhali mm siongei na vilazaSasa hiki ni kitu cha kucheka. Really? Bwana twitter unachakura sana mitandaoni
Lol......sisi hubahatisha tu kwa kandandaKuna mechi kati ya Ethiopia na kenya hapa ss9… ethiopia ni noma wamejaza uwanja na wanatawala mpira
Sikuquote tena ila ningetaka kukukumbusha kwamba 6 feet underground ni lazima. Zidi kuwacheka wafu. Ipo siku tu mchwa watauchangamkia huo mwili wako.Mimi si kilaza kama wewe maana sijawahi cheka yeyote kisa kafa au kuwacheka wafiwa. Endelea kucheka watu wanaojitia kitanzi. Mola anakuona.we are all flowers quickly fading here today and gone tomorrow.naomba usuni quote tafadhali mm siongei na vilaza
Nyingi ya hizi surgeries wamefanyiwa wakenya, wao wenyewee kazi ni kulumbana na kuandika katiba kila mwaka