kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,755
shida yenu ni kwamba kila kitu mnataka kiwe battle.HUYO ANAKAA 40 YEARS NI YOUNG-SMH!!!!!!
babu owino na antony mavunde wote ni watu wa kizazi cha 80s. hakuna mtu aliyezaliwa 80s amefikisha 40yrs.