Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndinda tuletee huu mjengo, najua wewe ni expert.. Photo moja unaweza unganisha PPF, TCRA, Millennium tower na Morroco square
tapatalk_1539188489735.jpeg
 
Ndinda tuletee huu mjengo, najua wewe ni expert.. Photo moja unaweza unganisha PPF, TCRA, Millennium tower na Morroco square View attachment 893630

Aisee mkuu habari ni mbaya ( bad news kabisa) 🤣

Nilipita mlimani campus tarehe 25 Mwezi wa sita 2016 nikapiga picha Hii hapa chini.
Basi nilipapenda sana ile angle niKasema subiri yakamilike nije ninyuke kitu matata, focus yangu ilikua Morroco square kule. Juzi nimerudi nikakuta na miti imekua imefunika sioni kitu kabisa .

Ndio nilipokumbuka msemo wa Teacher wangu wa Geography kwamba land information is dynamic over time

27320265004_a5c3e28c8a_o.jpg
 
View attachment 893644
This is nice
 
Aisee mkuu habari ni mbaya ( bad news kabisa)

Nilipita mlimani campus tarehe 25 Mwezi wa sita 2016 nikapiga picha Hii hapa chini.
Basi nilipapenda sana ile angle niKasema subiri yakamilike nije ninyuke kitu matata, focus yangu ilikua Morroco square kule. Juzi nimerudi nikakuta na miti imekua imefunika sioni kitu kabisa .

Ndio nilipokumbuka msemo wa Teacher wangu wa Geography kwamba land information is dynamic over time

View attachment 893644
Nipe coordinates za hiyo sehemu nikaikate kabisa hiyo miti
 
Aisee mkuu habari ni mbaya ( bad news kabisa) 🤣

Nilipita mlimani campus tarehe 25 Mwezi wa sita 2016 nikapiga picha Hii hapa chini.
Basi nilipapenda sana ile angle niKasema subiri yakamilike nije ninyuke kitu matata, focus yangu ilikua Morroco square kule. Juzi nimerudi nikakuta na miti imekua imefunika sioni kitu kabisa .

Ndio nilipokumbuka msemo wa Teacher wangu wa Geography kwamba land information is dynamic over time

View attachment 893644

Miti ilikusikia ukijiambia jambo,nayo ikaamua kufanyia hiyana.
 
Hili jengo litaanzisha mwendo kama millenium towers pale makumbusho. Ubungo Interchange iki isha Sam nujoma road vitaota vitu vingi. Udsm wange lease ardhi yao iliyo pembeni mwa road kwa kuikata kata to any serious investors wenye uwezo kutumia vizuri ardhi kwa kwenda juu (more than 30 floors). Ila agreement ziwe na manufaa kwa kwa pande zote. Tofauti na hivyo ile ardhi itakua under utilized.
hiyo idea hata mimi nimekuwa nikiitafakari sana.maana lile pori lao ni kama lipo useless, linahifadhi wapiga ngeta tu mida ya usiku.
 
Hahaa.. nasikia pale ni noma mida mibovu!

Ukizingatia Mwenge kuna plan za kuweka fly over pia, ile land ni potential sana. Ingefanyika awamu hii ingekua safi zaidi upigaji wa kijinga umepungua. Isije ikaingiwa mikataba ya ki Ken yah kutoka Beijing
 
Back
Top Bottom