Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Watanzania yafaa mshukuru Mungu kwa kuwa kwenu hamna vifo mnaishi milele. Waja humo bongo hawajitii kitanzi.Ni jambo la kuhuzunisha kuona baadhi yenu wakicheka wakenya wanaojitia kitanzi.kifo si cha kuchekwa. Kutaniana si vibaya ila swala la mauti linapohusishwa ni vizuri kumakinika.
Anyways good evening
 
This picture shows Dar's growth than words can
DVXUkv0WAAA8y92.jpg
 
Watanzania yafaa mshukuru Mungu kwa kuwa kwenu hamna vifo mnaishi milele. Waja humo bongo hawajitii kitanzi.Ni jambo la kuhuzunisha kuona baadhi yenu wakicheka wakenya wanaojitia kitanzi.kifo si cha kuchekwa. Kutaniana si vibaya ila swala la mauti linapohusishwa ni vizuri kumakinika.
Anyways good evening
@kadoda 11
 
@kadoda 11
huyo housemaid ni wa kupuuza tu comrade, asikushughulishe... binafsi nilishampuuza tangu that day akiwa anatumia ile ID yake nyingine.

na-enjoy kuona vile anavyo struggle kuni qoute akitegemea nitam-qoute pia.
 
Sikuquote tena ila ningetaka kukukumbusha kwamba 6 feet underground ni lazima. Zidi kuwacheka wafu. Ipo siku tu mchwa watauchangamkia huo mwili wako.Mimi si kilaza kama wewe maana sijawahi cheka yeyote kisa kafa au kuwacheka wafiwa. Endelea kucheka watu wanaojitia kitanzi. Mola anakuona.we are all flowers quickly fading here today and gone tomorrow.
naapa kwamba sitakuquote tena.
umeona sehemu nimecheka hapo unajua sababu ya kumuonesha kadoda kuna kila wenu mmoja alisema tanzania watu hujinyonga sana sasa tulitaka kumuonesha ni vp maisha yamewakaza mpaka munajinyonga nafkiri msg sent
 
Watanzania yafaa mshukuru Mungu kwa kuwa kwenu hamna vifo mnaishi milele. Waja humo bongo hawajitii kitanzi.Ni jambo la kuhuzunisha kuona baadhi yenu wakicheka wakenya wanaojitia kitanzi.kifo si cha kuchekwa. Kutaniana si vibaya ila swala la mauti linapohusishwa ni vizuri kumakinika.
Anyways good evening
 
Hili jengo litaanzisha mwendo kama millenium towers pale makumbusho. Ubungo Interchange iki isha Sam nujoma road vitaota vitu vingi. Udsm wange lease ardhi yao iliyo pembeni mwa road kwa kuikata kata to any serious investors wenye uwezo kutumia vizuri ardhi kwa kwenda juu (more than 30 floors). Ila agreement ziwe na manufaa kwa kwa pande zote. Tofauti na hivyo ile ardhi itakua under utilized.
 
Back
Top Bottom