Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dar street scene
Cibd_yCWgAEWDcD - Copy.jpg
dar07-680x1019.jpg
DhRlTcoXcAMq3eF - Copy.jpg
Di2gJlNXsAEE2dq.jpg
DiZpvOOXkAEuN8g - Copy.jpg
Dl_5Z2ZWsAAtuX9 - Copy.jpg
Do09yWYUcAAJpOC.jpg
IMG_20160718_210904_164.JPG
 
Vyovyote utakavyoweka, mimi nilitaka tu kushindana kwa hoja. Sasa jinsi ninavyokuona hata wewe huhitaji hoja, naona unatoa tu ulichonacho moyoni. Tena unashangaza, wewe mwenyewe unashambulia, ila ukipata athari mbadala unalalamika. Kama ulishaamua kumwaga mboga, mwingine akiubeba ugali usilalamike.
Mimi si mnyonge unavyofikiria. Sasa mimi nitukanwe kama nimenyamaza? Nikileta hoja zangu napokea matusi. Can't you see there are cyber bullies here? Mimi sipendi ujinga. Ni nadra sana kuniona nikitusi mja yeyote bila sabab.u.MTU anakwita nyani ilhali yeye ni nyani kilaza. Kiufupi it's tit for tat game.. A very fair game indeed
 
Basi kumbe ushamaliza kesi. Hapo ninaona ni suala la nipe nikupe. Kama ni matusi hata wewe ninaona unayatoa na wao wakikupa ni sawa tu. Na ni suala ambalo pande zote mmeridhia, hasa nikizingatia sentensi yako ya mwisho.
 
Back
Top Bottom