Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Baada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. 😀😀😀. Safari njema wasalimie kibera.
huyo bila shaka atakuwa ameenda kulala mda huu maana nasikia usiku wa leo kakesha jf.
 
Nimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
Hahahaaaaa
Basi rudi mama
Tutamwambia Kadoda asikupeni tena mawe ya A'level maana mmenyweaa kama paka kapigwa mvua. Lakini msirudie tena kuiponda elimu ya Bongo kisa ung'eng'e maana sisi huku tunaangalia maarifa zaidi hiyo lugha ras Simba anamaliza.
 
Hahahaaaaa
Basi rudi mama
Tutamwambia Kadoda asikupeni tena mawe ya A'level maana mmenyweaa kama paka kapigwa mvua. Lakini msirudie tena kuiponda elimu ya Bongo kisa ung'eng'e maana sisi huku tunaangalia maarifa zaidi hiyo lugha ras Simba anamaliza.
 
mimi sijawafanya kitu chochote kaka, ni ujuaji wao ndio unawaponza.na siku zote kama umechunguza, mkenya huwa anaponzwa na tabia ya ujuaji.

imagine kuhusu elimu yetu, kila kitu walichokuwa wanaelezewa wanadai walishasoma wakiwa form two... mwingine anakwambia sijui topic fulani alishasoma akiwa primary.

nilipoleta national paper ya form six ya advanced mathematics baadhi yao wakaamua kupiga kimya.

halafu wala wasikuzuge na hiyo style yao ya kususa, hawajaanza leo. wanasusa but after some few ours wanarudi kuja kukomenti.na wengine huwa wanarudi kwa ID mpya. binafsi nimeshawazoea.

washatumia kila mbinu ili kumshawishi moderator ifungwe hii thread wameshindwa.
Kukijua Kiswainglish kwao wanadhan ndoo professionalism kumbe Kuna mambo beyond Language mkuu.
 
Nimeipiga sasa hivi nikiwa ndani ya Azam Marine - Kilimanjaro 6. Ni kwa kutumia simu ya mkononi
C360_2018-10-09-12-31-45-339.jpg
C360_2018-10-09-12-29-02-967.jpg
C360_2018-10-09-12-31-22-722.jpg
 
Sasa kijana mbona unaketa kituko!? Hii ndiyo part ngumu kwenye mtihani wenu!?
Mathematics without calculus ni kama mwanamke bila K.
kweli mkuu ilikuwa inafikia wakati huwezi fanya derivationy ya formular zaid ya moja bila kutumia calculus kwaiyo calculus ni topic muhim sana hata upande wa physics
 
Ila Ikumbukwe wao hujinasibu kua na Umeme wa kutosha kuliko TZ sasa cjajua kwanini wao gharama za umeme bado zipo juu ukilinganisha nasi.
maisha ya wakenya ni maisha ya maigizo sana 😂😂😂😂😂
 
Kukijua Kiswainglish kwao wanadhan ndoo professionalism kumbe Kuna mambo beyond Language mkuu.
kwa dunia ya sasa kingereza si kigezo cha kumfanya mtu ajione yeye ni exceptional katika kundi watu.

kingereza sio kikomo cha maarifa bali ni lugha tu kama lugha zingine, hata bondia floyd mayweather anazungumza kingereza japo hajui kusoma wala kuandika(kwa mujibu wa 50cent).
 
you overrate calculus for nothing ..............calculus ya engineering ndio calculus........................differential equations,integration and differentiation arent complicated yawa...................
mkuu mimi nmesomea mechanical engineering na kule chuoni nilikutana na calculus ya form six ila kuna baadhi ya vitu vidogo san viliongezeka waliokuw wanapata shida sana sana ni wale waliotokea diploma
 
Back
Top Bottom