comradeSasa mimi ndiyo mnanivuruga. Mada hii ijadiliwa kwa vigezo vya ukweli ama kwa hisia? Maana tukishafika upande mmoja unasema hupendi vya kwenu basi hapo hakuna ukweli tena ni unazi. Na hata yule anaeponda tu Dar au Nairobi kwa kisa tu yeye ni wa kule au huku, huo ni unazi na kwa staili hiyo hapatokuwa na muafaka. Kama ni kwa unazi tu na uzalendo basi tusiendelee na mjadala maana majibu yanajulikana, kwa watanzania Dar ni namba moja na kwa wakenya Nairobi ni namba moja. Tusipoteze muda!
Mimi nilie?kweli umepotoka wewe bikizee.Kwahiyo unataka kulia!?
kadoda umenifikisha kwenye somo langu asante sana hakuna nkenya atadanganya hapo niamini mimi nitamhoji kitaalamu mpaka atafaurah na roho yake😂😂😂😂😂nimefurahishwa na mjadala wa leo kati wakenya na watanzania ulioangazia masuala ya elimu.
baadhi yetu hatujazoea ku-argue kwa porojo, tunapenda facts.
nilichogundua kwa wakenya ni kwamba kila wanachofafanuliwa kuhusu elimu yetu ya O-level(form 1 up to form 4) na high level(form 5 up to form 6) huwa wanadai eti wamesoma tangu wakiwa sijui primary sijui wakiwa form 1 and blablabla.
sasa twende kwenye practical, tusipige porojo.vitendo vizungumze zaidi kuliko maneno.
naleta kwenu advanced mathematics national examination paper for form six student that was held in tanzania on may 2018.
nataka wale wakenya waliobobea katika mathematics wa solve maswali katika papers then watuonyeshe equations and solutions walizotumia kupata majibu.
uzuri jamiiforum imekusanya magwiji wa kila fani.magwiji watakuja kuthibitisha kama majibu ni sahihi au lah. porojo zikae kando kwa mda.
housemaid we don't need your excuses and blablabla here, solve these questions pls.
View attachment 891155View attachment 891156View attachment 891157View attachment 891159
copy to Kijibabu
hakuna ukweli wowote hapo bro hzo ni porojo tuNisaidieni hapa,central Africa region hakuna cities zenye mali hata $1bln mbona sizioni katika ramani Au study haikuzihusisha??View attachment 891475
Badamu banataka kumwagika...!! Kibera dwellers njooni huku..nimefurahishwa na mjadala wa leo kati wakenya na watanzania ulioangazia masuala ya elimu.
baadhi yetu hatujazoea ku-argue kwa porojo, tunapenda facts.
nilichogundua kwa wakenya ni kwamba kila wanachofafanuliwa kuhusu elimu yetu ya O-level(form 1 up to form 4) na high level(form 5 up to form 6) huwa wanadai eti wamesoma tangu wakiwa sijui primary sijui wakiwa form 1 and blablabla.
sasa twende kwenye practical, tusipige porojo.vitendo vizungumze zaidi kuliko maneno.
naleta kwenu advanced mathematics national examination paper for form six student that was held in tanzania on may 2018.
nataka wale wakenya waliobobea katika mathematics wa solve maswali katika papers then watuonyeshe equations and solutions walizotumia kupata majibu.
uzuri jamiiforum imekusanya magwiji wa kila fani.magwiji watakuja kuthibitisha kama majibu ni sahihi au lah. porojo zikae kando kwa mda.
housemaid we don't need your excuses and blablabla here, solve these questions pls.
View attachment 891155View attachment 891156View attachment 891157View attachment 891159
copy to Kijibabu
To be fair let it beUzi umeshift goal post to Dar vs Nakuru. Wakenya bana this is not fair at all.
hii post nilii-post jana mida ya jioni tulipokuwa tunajadili masuala ya elimu ya secondary kati ya kenya na tz.kadoda umenifikisha kwenye somo langu asante sana hakuna nkenya atadanganya hapo niamini mimi nitamhoji kitaalamu mpaka atafaurah na roho yake![]()

Hahaaaaaa mkuu umenikumbusha mbali sana form 3 hiyo...Kama huu mtihani ndio wa highest level of secondary schools Kenya. Basi kenya elimu yenu kwenye mambo ya science ipo chini sana. Huu mtihani ni wa kidato cha tatu hapa TZ. Na swali la kwanza mtoto wa kidato cha kwanza analifumua lote.
Kuna akiimba tu Hallo Helena Lile Beberu Bora Chinja Na Ondoa Figo Nene. Nani Mzungu Aliye Simama Pale Serengeti Club Arudi Kwao Canada!?
safari njema,nenda kampikie shemeji...!Nimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
Nimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
Bon voyage mammyBaada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. 😀😀😀. Safari njema wasalimie kibera.Nimeona nijiuzulu kirasmi maanake hatusaidiani kwa lolote lile. Pongezi kwa wakenya waliotoka kwa huu uzi wakati picha zao zilipokuwa zinaanikwa hadharani.
Sasa jukwaa limeachiwa character assassins.wazee wa kujadili kwa mihemko nawatakia kila la heri.
mimi sijawafanya kitu chochote kaka, ni ujuaji wao ndio unawaponza.na siku zote kama umechunguza, mkenya huwa anaponzwa na tabia ya ujuaji.
Baada ya kuletwa mtihani wa Maths naona mnaanza kukimbia mmoja mmoja. Najua mnakuja kwa IDs tofauti. Tumejua pahala pa kuwashika. 😀😀😀. Safari njema wasalimie kibera.