Wanaija na wabongo hawawezi anzisha battle yoyote coz ya language barrier. Kuna wasee fulan wa kibongo walikuwa wanajipendekeza kwa wanaija iyo tym kwa kutoa post za kuidhalilisha Kenya. Nobody even recognised their presence there. Hapa ndiyo naona wanatawala. Wakija fb au twitter wanaweza kipata wallahi
Acha waendelee kuwika hapa.[emoji23][emoji23][emoji23]Jogoo la kijijini haliwiki mjini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
wimbo mzuri kwa wale wahenga,pia wakongo wameimba dar yachemka kama bahari,asante wakongo.
We've beaten naija in BBA and music more than once. Mind you hiyo BBA ni kiingereza tupu. They are just many ila hawatuwezi man to man
Tell them .Wakongo hukimbilia Kenya kama ng'ambo na wanamziki wao mashuhuri wamekuza talanta zao hapa kenya not Dar[emoji12][emoji12][emoji12]
Hizo jobs wanaoringa nazo ni za kiLDC. Imagine kuna wasee wanalipwa 30KTshs per month
Tell them .
The late chibalonza
Alicios
Rigarn sarkozi among others
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa nini inaniuma when we all know Hq iko KenyaImekuchoma[emoji23][emoji23][emoji23] kwa hiyo balozi wa Marekani Tanzania anapata kibali kutoka Kenya??[emoji23][emoji23][emoji23]
theres a difference between employment and meaningful employment....................kenyan doctors and teachers earn twice as much as their east african counterparts............useless employment is rife in ldc list of shame of the world........the poorest of the world's nationsWafanyikazi wa ndani na shamba boys wanalipwa hivyo.mamode wa primo ni kitu 100ktshs.wa secoo nitachunguza
Kuna huyu mwenzako kaomba msaada kutoka Japan.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116]
Wakenya wanatuharibia lugha aiseeView attachment 887523
What you don't know about Kenya is that majority are self employed and all these are not included in the list of employed people. We rarely depend on government jobs.