aliyepost hii takataka kule ni twitter nina hakika 100% ni mmoja ya mkenya kilaza tunaye argue naye kwenye hii battle hapa jf.
unapost kitu kama hii wakati huna impact wala influence yoyote twitter. tangu ujiunge na twitter mwaka 2012(miaka saba iliyopita) mpaka hii leo ndio kwanza una followers 826, yaani hata mimi nimekuzidi kwa followers japo nimejiunga tweeter 2015.
hii takataka umepost jana around 7pm but mpaka hii leo mda huu imepata like moja, retweet zero, comment zero. wakenya wa twitter wamekudharau na kukupuuza.wamekuona mjinga.
najua unasoma comment yangu kwa uchungu na maumivu mengi.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 887823View attachment 887824