Mwenzako anapigwa baridi hana kitanda. Huyo na chokoraa wa afya center hawana tofautiShida hapa ni wingi wa wanafunzi mamaa, sasa mimi swali langu kwako hapo kwa watanzania ulikohamia shida ni nini?
View attachment 887340
Mwenzako anapigwa baridi hana kitanda. Huyo na chokoraa wa afya center hawana tofautiShida hapa ni wingi wa wanafunzi mamaa, sasa mimi swali langu kwako hapo kwa watanzania ulikohamia shida ni nini?
View attachment 887340
Hao kwanza walikuwa wanajisomea. Hawakuwa na lecture. So they can sit popote😂😂😂👆👆👆linganisha kwa umakini utaona kuwa wa huko tanzagiza hawana hata viti tena sio wengi.
View attachment 887341


Just go straight to the point & say "Wasikuje na kizungu Mingi" najua hio ndio mnaogopa plus naona itakuwa kibarua ku waleta JF yani wakenya huwa wamewadharau style ingine!





we need many kenyans here, so you don't need to ask.
but you should warn them first that jf moderators don't entertain childish discussion,use of offensive language, insults etc,their accounts will be removed.
waje hapa wakiwa na facts sio emotions za kikenya... watakwama.


Ebu enda Google the Main Hq iko wapi








Kenyan mentality of thinking the US Embassy is only in KenyaTanzania
View attachment 887272View attachment 887273View attachment 887274View attachment 887275






usilete wa tweeter pekeyake. Leta nawa facebook pia.
Nakumbuka ile battle ya naija na Kenya. Kuna watu walikuwa wanasema tz next. Watu wakapinga .Just go straight to the point & say "Wasikuje na kizungu Mingi" najua hio ndio mnaogopa plus naona itakuwa kibarua ku waleta JF yani wakenya huwa wamewadharau style ingine!
![]()






They will be forced to pull this down if KOT.
Kenyans beware. All the harassments here .These people are cyber bullies.
There are some mods passing themselves as ordinary members
kizungu mingi na wengi wenyu ni majobless... ajira karibia yote ya madaraka express amekalia mchina...Just go straight to the point & say "Wasikuje na kizungu Mingi" najua hio ndio mnaogopa plus naona itakuwa kibarua ku waleta JF yani wakenya huwa wamewadharau style ingine!
![]()

Kama CNN walitii ,hawa ni akina naniKOT itawaanika dunia nzima wacha tuwahurumie![]()


na Vile wanija hawapendi mazuzu kama hawa
Nakumbuka ile battle ya naija na Kenya. Kuna watu walikuwa wanasema tz next. Watu wakapinga .
They said it is wastage of time .
like serious?..
kizungu mingi na wengi wenyu ni majobless... ajira karibia yote ya madaraka express amekalia mchina...![]()
![]()
![]()
Wanaija na wabongo hawawezi anzisha battle yoyote coz ya language barrier. Kuna wasee fulan wa kibongo walikuwa wanajipendekeza kwa wanaija iyo tym kwa kutoa post za kuidhalilisha Kenya. Nobody even recognised their presence there. Hapa ndiyo naona wanatawala. Wakija fb au twitter wanaweza kipata wallahina Vile wanija hawapendi mazuzu kama hawa
Mimi sio kijana. 😂😂😂Uzi umetolewa ukaona vizuri ulete ujinga hapa? Ni kweli kijana uko na taabu
wimbo mzuri kwa wale wahenga,pia wakongo wameimba dar yachemka kama bahari,asante wakongo.Ikiwa Congo wanaimba Jijikuu!! Dar ndio takataka gani?? Ama wanataka waimbiwe nakeii Darslum?
We've beaten naija in BBA and music more than once. Mind you hiyo BBA ni kiingereza tupu. They are just many ila hawatuwezi man to manWanaija na wabongo hawawezi anzisha battle yoyote coz ya language barrier. Kuna wasee fulan wa kibongo walikuwa wanajipendekeza kwa wanaija iyo tym kwa kutoa post za kuidhalilisha Kenya. Nobody even recognised their presence there. Hapa ndiyo naona wanatawala. Wakija fb au twitter wanaweza kipata wallahi
Imekuchoma😂😂😂 kwa hiyo balozi wa Marekani Tanzania anapata kibali kutoka Kenya??😂😂😂Ebu enda Google the Main Hq iko wapi
![]()