Ukisoma ukapata elimu flan unategemea kuajiriwa ili ulipwe ujira wako,ukikosa kazi hapo unakua workless ,sasa ajira rasmi ni zile zinazolipa kodi kwa serikali mfano,ukiajiriwa na sekta Za umma, ajira katika sekta binafsiKwhvo tuusan..hta mama mboga huaga hawako kwenye list ya unemployment..hebu nieleweshe kidogo mkuu
huyo housemaid hajawahi present jambo lolote la maana hapa jf tangu ajiunge...ni mtu wa kulalamika tu siku zote.We umeweza jadili nn ukaeleweka maana naona umekua imekua moto sana
Haha tumpe muda tuone yaliyomohuyo housemaid hajawahi present jambo lolote la maana hapa jf tangu ajiunge...ni mtu wa kulalamika tu siku zote.
hajawahi kuzitendea haki ID zake zote mbili hii anayotumia leo na ile nyingine aliyoisusa.
ni takataka fulani kupuuza tu.



View attachment 887602View attachment 887603
Hizi ni kati ya projects zinazowapa majirani zetu nightmares huwa wanabakia kugeuza geuza simu bila kutoa comments zozote!!! Total Slap!!!!!!!
Mzee baba camera yako matata sana
Waoh, Nice garimoshy
job well done comrade..




Heheee!!!eti unalialia serikali..hyo kali aisee..Ukisoma ukapata elimu flan unategemea kuajiriwa ili ulipwe ujira wako,ukikosa kazi hapo unakua workless ,sasa ajira rasmi ni zile zinazolipa kodi kwa serikali mfano,ukiajiriwa na sekta Za umma, ajira katika sekta binafsi
Ukiweza fungua ofisi yako na unalipa kodi iyo tayar ni ajira binafsi
Mama mboga, bodaboda, wapika chispi hizi sio ajira rasmi,hawalipi kodi,hawana health insurance,(hizi tunaita ajira zisizorasmi ni halali lakini haziko katika mfumo rasmi kiserikali )
Jobless huna chochote unachofanya/not productive unalialia tu serikali imekutenga ooh sijui JPM /Uhuru mmbaya sana nk
Mzee baba camera yako matata sana
Noma man ..Ni simu tu hii mkuu
Nasubiri paishe vizuri Ndio DSLR itafanya kazi yake.
Huyu jamaa anatumia matako kufikili.😂😂😂Do you hear yourself? GoT has only 700k employees and we r about 60M ,If you don't know what jobless means shut-up