Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hawa washenzi eti leo wanakuja na kauli ya kijinga ya character assassination.

wanasahau wanamvofanyia character assassination ichoboy kutokana na uhindi wake.

nawatazama tu vile mnavyojihangaisha.
 
Character assassination is an attempt to tarnish a person's reputation. It may involve exaggeration, misleading half-truths, or manipulation of facts to present an untrue picture of the targeted person. It is a form of defamation and can be a form of ad hominem argument.
Hahaha Umepanic
Endeleeni na wimbo wenu Watanzania hawana Elimu
 
hawa washenzi eti leo wanakuja na kauli ya kijinga ya character assassination.

wanasahau wanamvofanyia character assassination ichoboy kutokana uhindi wake.

nawatazama tu vile mnavyojihangaisha.
Kuna mmoja Alizidi kumshambulia sana Icho
Ikabidi kwenda inbox kumtuliza
Hahaha Alipewa picha ya Familia yake Mpaka leo mpole humu
 
Hahaha Umepanic
Endeleeni na wimbo wenu Watanzania hawana Elimu
tukisema huwa wanaenda vyuo vikuu kusomea ujinga huwa wanakasirika.

hivi kweli mtu makini unaweza kupost picha yako hapa jf huku ukijua kabisa picha hiyohiyo inapatikana publicly instagram au facebook?.

yaani ukifanya hivyo basi jua you are finished, maana kwa mtu mtundu hatahitaji knowledge ya computer programming kukubaini. simple sana.
 
Kuna mmoja Alizidi kumshambulia sana Icho
Ikabidi kwenda inbox kumtuliza
Hahaha Alipewa picha ya Familia yake Mpaka leo mpole humu
nakumbuka jamaa walivuka mstari mwekundu..... assassination yao ilikuwa ya kibaguzi sana,walijikita katika kushambulia race yake kisa tu kawazidi kimaisha.kisa tu anapost iPhone na gari lake la kutembelea.

leo tume expose hicho kitoto chenye matusi eti wanalia.jinga kabisa hawa.
 
fabricated news.
tanzania hakuna uhaba wa kuku.ni uongo.
IMG_20181003_083542.jpeg
 
nakumbuka jamaa walivuka mstari mwekundu..... assassination yao ilikuwa ya kibaguzi sana,walijikita katika kushambulia race yake kisa tu kawazidi kimaisha.kisa tu anapost iPhone na gari lake la kutembelea.

leo tume expose hicho kitoto chenye matusi eti wanalia.jinga kabisa hawa.
Wacha utoto wewe Sisi hatuna ubaya na mtu ata kutukana familia zetu juu tushazoea kutukanwa lakini mbona mtu abandike picha ya mtu bila hiari yake?uyo icho boy Nani amewai weka picha yake hapa...,Kwa kuweka vitu personal za mtu unamueka yeye na familia yake kwenye risk,jamani tuspite mipaka saa zingine
 
Tena hufika mbali mpaka kwa rais wetu.

Na tunawaangalia tu.
Kwani rais wenyu ni mungu eti asitukanwe?he is a public figure and everyone is entitled to their opinion about him or how he governs. we are not in Pyongyang so don't expect anyone here to suck his dick like like you guys do.we use to do that in the 80s during nyayo era bt not anymore.
 
Kwani rais wenyu ni mungu eti asitukanwe?he is a public figure and everyone is entitled to their opinion about him or how he governs and we are not in Pyongyang so don't expect anyone here to suck his dick like like you guys do.we use to do that in the 80s during nyayo era bt not anymore.

Sasa unatupangiaje nini cha kufanya juu ya huyu dogo wa kikenya???maana ni mtu tu tena asiye na madhara yoyote huku kwetu.
 
Hapana hapo wanamsaidia kumfundisha kujilinda asifanye upuuzi kama huo siku atakuwa anatafutwa na vyombo Vya serikali Vya kwao Kwa sababu mbalimbali itakuwa rahisi kumpata kama atakuwa mzembe bora tumfundishe hapa hapa huyo msapare

Hakuna msaada wowote hapo ni vitisho tu. Whether he had a photo of him or not, he had no right to expose him without his consent. Kama angekuwa criminal na anatafutwa basi akatoe taarifa polisi.
 
Kwani rais wenyu ni mungu eti asitukanwe?he is a public figure and everyone is entitled to their opinion about him or how he governs and we are not in Pyongyang so don't expect anyone here to suck his dick like like you guys do.we use to do that in the 80s during nyayo era bt not anymore.

Ajabu ni pale magu ni rais wa Tz ila wanaoumia ni wakenya,sasa wewe mkenya magu anakuumizaje mpaka ujihisi kutukana!!!!
 
I do not understand why our neighbors down south are super brainless...i majored in business and lease is waaaay better my friend, i case of any damage of aircraft, the lessor does the repairs/replacement. plus you also pay a good price to lease,it aint free.

lease
liːs/
noun
noun: lease; plural noun: leases
  1. 1.
    a contract by which one party conveys land, property, services, etc. to another for a specified time, usually in return for a periodic payment.
Moja ya sababu ya kQ kupata total loss each day ni kwa sababu ya leased planes,don't tel yourself lies
 
Back
Top Bottom