Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

1538501367646.png
 
kilaza Msapere kwa hiyo picha kama kweli ni yeye, basi saa hii atakuwa busy ku deactivate account zake zote za instagram na twitter.

tatizo vijana wa nairobi ni washamba sana. hawajui kama kuna application zimetengenezwa kwa ajiri ya kufanya reverse image search au similar image search.

lesson ni kwamba unapo post picha yako hapa jf pamoja na kuiwekea filters za kuziba sura, make sure the image isn't available on public domain or social media platforms.
 
habari yako kivulana duncan chirchir.

haki sikudhani kama siku zote hizi nilikuwa na argue na kivulana ambacho kinalingana na firstborn wangu.
wacheni character assasination......it is extremely wrong to just post someones photos without consent........hata mimi kuna mipaka huwa sivuki hapa................lets go back to some non personalistic stuff
 
habari yako kivulana duncan chirchir.

haki sikudhani kama siku zote hizi nilikuwa na argue na kivulana ambacho kinalingana na firstborn wangu.
mzee u always argue like a young man I doubt if u are that old to be the age of my father
 
wacheni character assasination......it is extremely wrong to just post someones photos without consent........hata mimi kuna mipaka huwa sivuki hapa................lets go back to some non personalistic stuff
acha kutetea ujinga.....kama una picha yangu wewe post tu hapa.
 
Back
Top Bottom