Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeumwa...umekajaribu kuiharibia sifa tononoka sasa umeshindwa...unaingilia wahindi...[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] at home....[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 884503
wewe jamaa ni full fashion police😂😂😂Chini suluali ya jeans juu shati,tai na koti. Kwa joto la mombasa ukivua koti unafanana je??😂😂😂
 
Bro...mm si tajiri ila najikimu kimaisha..hahaaa..wacha nijifunze ku brag kiasi..kw sasa nipo na simu mbili..achilia mbali laptop,tv na sytem..hebu nikupe kidogo...samsung na oppo f5 youth
Screenshot_2018-10-02-12-48-53.jpg
Screenshot_2018-10-02-12-49-41-55.jpg

Kula ya oppo f5 youth kwanza...ni kujifunza ku brag..bt mi si tajiri
Screenshot_2018-10-02-13-01-20-77.jpg
 
wewe jamaa ni full fashion police[emoji23][emoji23][emoji23]Chini suluali ya jeans juu shati,tai na koti. Kwa joto la mombasa ukivua koti unafanana je??[emoji23][emoji23][emoji23]
Uliza nilikuwa nahudhuria kikao gani...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kijana wahi hospital Asap. muonekano wako unaonyesha una upungufu wa kinga mwilini(acquired immune deficiency syndrome).
Stimu nyingi mzee...ila sai nimeamua kupunguza...najiona nimekata sana...asante kw kunipa advice kiasi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeumwa...umekajaribu kuiharibia sifa tononoka sasa umeshindwa...unaingilia wahindi...[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] at home....[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 884503
Mapigo ya ki mbwigiri mbwigiri! Njoo Dar uondoe u lugha lugha. Hapo kwa level zenu umemaliza [emoji2]
 
ukimaliza mludishie jirani[emoji23][emoji23][emoji23]mwambie anunue latest phones[emoji23][emoji23][emoji23]
Mulisaa hta km ni kunivamia si hvo bana...si pumui...si wote binadamu bana...smetimes jokes kando...ila mi najikubali..kw sasa siez jisifia km eti nina nyumba ndio nifurahishe...wewe km Mungu kakupa nyumba gari na familia...rudishana shukrani...mi ndo sai najitafutia..na naimani nitafika hko...
 
Siez juta mzee wangu...mbna naishi maisha mazuri tu...leo nmeamini google inaeza haribu mazingira na kuyachakaza kabisa
halafu google map haipo real time, ina generate images za siku za nyuma.
so usijidanganye eti ukashare location ukadhani uta excite watu kumbe utaishia kujishushia hadhi. zingatia hilo.
 
Stimu nyingi mzee...ila sai nimeamua kupunguza...najiona nimekata sana...asante kw kunipa advice kiasi
😂😂😂😂😂😂😂hivi ukipata hizo stimu siunakuwa kituko hapo Mombasa. ?? Nunua unga ws lishe na maziwa iwe ndo breakfast yako. You will regain your wait. Hata sisi tunakunywa but we are healthy.
 
halafu google map haipo real time, ina generate images za siku za nyuma.
so usijidanganye eti ukashare location ukadhani uta excite watu kumbe utaishia kujishushia hadhi. zingatia hilo.
M nlikua nataka muonyeshe jamaa flani km sai niko mombasa...kumbe google itakuja leta vitu vya ajabu
 
halafu google map haipo real time, ina generate images za siku za nyuma.
so usijidanganye eti ukashare location ukadhani uta excite watu kumbe utaishia kujishushia hadhi. zingatia hilo.
Asante sana mkuu...hilo la kushare location ni noma sana kumbe
 
Ha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeumwa...umekajaribu kuiharibia sifa tononoka sasa umeshindwa...unaingilia wahindi...[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] at home....[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] View attachment 884503
Kachalii kako humble tukakaribishe rchuga kaje kale mnafu
 
Back
Top Bottom