dwarf buildings in Nairobi😂😂😂
dwarf buildings in Nairobi😂😂😂
Mungu kashamuona na ameshamuadhibu tayar😂😂😂😂😂😂hizo sare za polisi aliyewabunia mungu anamuona
Chinese did the work😂😂😂hizo sare za polisi aliyewabunia mungu anamuona
Dar es salaam inatisha. No dwarf buildings like those in Nairobino make up 😂😂😂👇👇👇👇View attachment 884446View attachment 884447View attachment 884448View attachment 884449View attachment 884450View attachment 884451View attachment 884452View attachment 884453View attachment 884454View attachment 884455View attachment 884456View attachment 884457View attachment 884458View attachment 884459
jinga sana lile jamaa. yaani anathubutu kuja kwenye jukwaa la watu makini kama hili kudanganya eti watu wa mataifa ya kimagharibi huwa hawashindani.eti waingereza na wajerumani huwa hawashindani.real?.Mzee ungepiga kimya! Unajiabisha, wazungu wana shindana sana, infact ushindani ndiyo umewafikisha hapo. Ungekaa na Wajerumani na waingereza unge ona Dar vs Nai hapa hamna battle ni masikhara tu. Kama ulivyo shauriwa na Kadoda rudi unapo fit hapa unajichoresha tu.
Hayo magofu na ya tangu 1970s ndio unayatuma humu ndani...tononoka si tandale...hapo ndipo location yako imenipelekahiyo ndosehemu ulipo. Your parents are civil servants??
![]()
Kijana wa dar amilinyumba..wanawazimu...alafu umbea tandale wamuachie naniowning a slum is an achievement?
Ulishssikia jengo hata moja lililoporomoka New York, Tokyo, London, Paris, Cape town au nchi yoyote iliyoendelea?. Corruption kills.Dar is slum hakuna majengo bana .......ni machache sana ili yafike kiwango cha kuporomoka
Huyu msee ni mjinga sanaAnaishi kwa one Bedroom rent ni about KES 15000-20000 wewe hautawezana na hiyo maisha kaka
hapo ndipo location yako imenipelekahiyo ndosehemu ulipo. Your parents are civil servants??
![]()
Mimi nme rent..na nalikubali hilo...msapere ndo size yako mi bado mdogo san kwako...kakwambia umuonyeshe nyumba yako...umeanza kuleta nyumba za wanaume wenzako!![]()

flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi😂😂😂😂Hayo magofu na ya tangu 1970s ndio unayatuma humu ndani...tononoka si tandale...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tena huo ni mtaa wa kawaida...
Ni vile tu barabara zingine zimechapa..hay wewe komaa na mgofu ya 1970s...mwanzo hta k/koo kuna mahali kuna magofu tangu wakoloni...View attachment 884460View attachment 884461View attachment 884462View attachment 884465View attachment 884467View attachment 884469View attachment 884472View attachment 884473
flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi![]()










Achilia mbali teknolojia wazungu wana ubishi mpaka wa barabara na viwanja! Yani kama sisi tu. Ila sisi tumeshuka kidogo kutokana na hali zetu.jinga sana lile jamaa. yaani anathubutu kuja kwenye jukwaa la watu makini kama hili kudanganya eti watu wa mataifa ya kimagharibi huwa hawashindani.eti waingereza na wajerumani huwa hawashindani.real?.
hafahamu kwamba watu wa mataifa makubwa walishaacha kubishana kuhusu makazi bora, walishaacha kubishana kuhusu flyovers, walishaacha kubishana kuhusu appartments, walishaacha kubishana kuhusu highways.hivyo vitu vyote walisha vi-achieve miaka mingi iliyopita.
kwa sasa mashindano yao yapo katika uvumbuzi wa zana za kiteknolojia. taifa lenye teknolojia kubwa ambayo mataifa mengine makubwa hayana ndio linaibuka kinara.
kule youtube ukipitia comment section utabaini kwamba waingereza, wamarekani, warusi, wajerumani, wachina and the likes, mijadala yao imejikikita katika ubishani wa nani anaongoza kumiliki teknolojia ya zana za kivita, mawasiliano ya kidijitali na teknolojia inayohusu masuala ya cyber warfare.
sisi ndio kwanza tunajikongoja hivyo basi ni halali yetu kubishania vitu vilivyo ndani ya uwezo wetu kama flyovers, highways, appartments, slums etc.
hakuna ubaya katika hilo almradi hatuvunji sheria za jf na kanuni za TCRA.
flat yako imekuuma sana hadi umeingia street kupiga nyumba wazoishi wahindi![]()
at home....
inachoma kama pasi😂🤣😂alafu jengo ground floor limeandikwa bachellor😂😂😂Huyu msee ni mjinga sana
okay, kenya is officially a chinese provinceChinese did the work😂😂😂View attachment 884464
Kumbe hata kusoma hujui...councellor imekuwa bachellor...hahaaaaa!!

kijana wahi hospital Asap. muonekano wako unaonyesha una upungufu wa kinga mwilini(acquired immune deficiency syndrome).![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Umeumwa...umekajaribu kuiharibia sifa tononoka sasa umeshindwa...unaingilia wahindi...![]()
![]()
![]()
![]()
at home....
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
View attachment 884503