Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwanja ni wako sasa...chagua nikupe no.za mzee mzima ufanye nae mawasilianoView attachment 884675View attachment 884676
inaonekana familia yako ni watu wakarimu na wachamungu. ningekuwa bado sijaoa ningechangamkia fursa ya kutuma maombi ya kuoa katika ukoo wenu ili tutengeneze mahusiano mema ya ujirani.yaaani ningefanya kama alivyofanya ali kiba.

NB:
mimi ni mkatoliki, dini yangu hairuhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
 
vijana wa kimombasa wapo humble ana very friendly kwa wenzao wa dar es salaam.

huwa hawana tabia ya ujuaji mwingi kama vijana wa nairobi.
shida ya komora096 ni kuingia katika hii battle kwa emotions na kufata mkumbo wa hawa wakora wa nairobi. but anaonekana hana shida.

kuna nyakati vijana wa nairobi huwa wanawadharau sana vijana wa komombasa.wanasema eti wapo slow.nimewahi kulishuhudia hili kwa macho yangu nikiwa nairobi. wakenya kwa kufanyiana stereotype hawana mpinzani EA.
Hii sijawahi kuiona ingawa nilisha kaa nao kwa miaka minne. Ajabu wanai ndiyo nili iva nao zaidi kuliko wa Msa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
inaonekana familia yako ni watu wakarimu na wachamungu. ningekuwa bado sijaoa ningechamkia fursa ya kutuma maombi ya kuoa katika ukoo wenu ili tutengeneze mahusiano mema ya ujirani.yaaani ningefanya kama alivyofanya ali kiba.

NB:
mimi ni mkatoliki, dini yangu hairuhusu kuoa mke zaidi ya mmoja.
Nataka kungoa hapo mimi. Wa Mombasa wana mambo yao.😂😂
 
Nataka kungoa hapo mimi. Wa Mombasa wana mambo yao.
haina shida mdogo angu, nimekuachia.

mimi kwa sasa labda nitafute tu mchepuko wa kupatia burudani maana nilisha oa kitambo. mpaka sasa bado nahangaishana na yule "housemaid".

halafu leo sijamuona, sijui mdosi kamkataza asishike simu.,
 
October 2018
East Africa
Dar es Salaam, Tanzania

Dar-es-Salaam city vs Nairobi city
100% view : 360 degrees : Bird's eye view



Source : VON TECH 255
 
haina shida mdogo angu, nimekuachia.

mimi kwa sasa labda nitafute tu mchepuko wa kupatia burudani maana nilisha oa kitambo. mpaka sasa bado nahangaishana na yule "housemaid".

halafu leo sijamuona, sijui mdosi kamkataza asishike simu.,
Mchepuko tena..hhhhhh!!lkn ujue hatari mzee wangu...
 
Hii sijawahi kuiona ingawa nilisha kaa nao kwa miaka minne. Ajabu wanai ndiyo nili iva nao zaidi kuliko wa Msa

Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
shida ya vijana nai ni selfishness na kujiona wao ni better kuzidi wenzao wa mombasa wakati life standard ni ile ile.

unaweza kuwa ktk friendship na kijana wa nai lakini hawezi kukukaribisha kwake. na akifanya hivyo basi jua huyo umeiva nae sana.
 
friend-wise vijana wa kimombasa mpo vizuri sana kuliko wa kutoka jamii zingine za kenya.

nitakupa story moja. miaka kadhaa iliyopita ikiwa ndio mara yangu ya kwanza kufika nairobi, nilikuwa napata shida sana na maisha ya upweke. nazungumzia ule upweke wa kutojichangaya na watu.

nikirudi tu toka job najifungia kwa nyumba mpaka mida jioni.....yaani nilikuwa ziwezi ku interact na watu kutokana na ile selfish lifestyle ya watu wa nairobi.no greetings no story.

basi after three months nikapata "beshte" wangu mmoja hivi mkikuyu aliyezaliwa mombasa, kusomea mombasa na kukulia mombasa. he was very friendly to me. hata kiswahili chake ni typical mombasa accent.

yeye ndio mtu pekee aliyenitembeza karibia night club zote za nairobi, tulikuwa tunakula bata sana siku za weekend. he used to take me as his brother.

alisomea masuala ya computer, too bad alikuwa hana job. last year but one(2016) nikamwambia njoo dar es salaam tuone vile tutafanya kuhusu profession yako.

kwa sasa yupo hapa dar akipiga kazi katika organization moja ambayo nilimtafutia job.

urafiki wetu umekuwa ni kama ndugu. amepata manzi wa kitz, next year inshallah watafunga ndoa.

pia ako na talent ya uigizaji... nikamu introduce kwa wadau wa industry ya bongomuvi. he is catching up in acting, hopefully one day atakuja kuwa star wa movie za kibongo.

ningeweza kukutajia jina lake but haitakuwa poa.bila shaka utakuwa unamfahamu.
Kwenda huko story zako za uwongo peleka mbali..Haujawai Fika Nairobi mzee..Ati ulikua Job Nai?..wapi hapo?
 
shida ya vijana nai ni selfishness na kujiona wao ni better kuzidi wenzao wa mombasa wakati life standard ni ile ile.

unaweza kuwa ktk friendship na kijana wa nai lakini hawezi kukukaribisha kwake. na akifanya hivyo basi jua huyo umeiva nae sana.
Lkn mzee wangu mbna wako wengi tu walionikaribisha makwao nikiwa nai...karibia marafiki zangu wote kisha
 
Mwenzio namuona anataka kunipiga tatu bila...duh!!nimpe dadangu kilaini hvo..kwel jamani...mayb hyo siku niwe kwenye stimu zangu km jana...naeza jisahau nikakutupia no.zake..ila soba mwenzio kamoyo kananisuta kiukwel
hata mimi nakuunga mkono, kama anataka kuoa ktk familia yenu afate process.... pia azingatie mila na desturi za watu wa pwani ya kenya.
 
Back
Top Bottom