Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

October 2018
East Africa
Dar es Salaam, Tanzania

Dar-es-Salaam city vs Nairobi city
100% view : 360 degrees : Birds eye view

Source : VON TECH 255

Tanzanian source just imagine how biased that is
 
Lkn mzee wangu mbna wako wengi tu walionikaribisha makwao nikiwa nai...karibia marafiki zangu wote kisha
Huyu mzee kakudanganya..Wakenya husaidia Ombaomba kutoka Tanzania na wapo friendly sana ni vile hawataki kuwaste time
 
Kwenda huko story zako za uwongo peleka mbali..Haujawai Fika Nairobi mzee..Ati ulikua Job Nai?..wapi hapo?
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyu mzee kakudanganya..Wakenya husaidia Ombaomba kutoka Tanzania na wapo friendly sana ni vile hawataki kuwaste time
Hilo nalijuwa mtu wangu...kw habari huaga nawaona sana...lkn watu wenye huwaletaga kenya wana roho mbaya sana aisee...sijui hao jamaa watakuwa wabongo wa kutoka mkoa gani...kiwete umtumie jamani..kwel kila nchi n mapungufu yake...
Yetu wakenya tumeshayakubali na tunajaribu n vp tunaeza ya solve
 
Mwenzio namuona anataka kunipiga tatu bila...duh!!nimpe dadangu kilaini hvo..kwel jamani...mayb hyo siku niwe kwenye stimu zangu km jana...naeza jisahau nikakutupia no.zake..ila soba mwenzio kamoyo kananisuta kiukwel
mimi sikai just hit and run. Pia atapata starehe .. nipatie number... Mimi huo ndo ugonjwa wangu...
 
Mwenzio namuona anataka kunipiga tatu bila...duh!!nimpe dadangu kilaini hvo..kwel jamani...mayb hyo siku niwe kwenye stimu zangu km jana...naeza jisahau nikakutupia no.zake..ila soba mwenzio kamoyo kananisuta kiukwel
Nitafutie number ya kuwadi hapo Mombasa.
 
Tunakujua mzee
hunijui... kama unanijua mimi naitwa nani? taja jina langu halisi, acha na ID ya kadoda11. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
hunijui... kama unanijua mimi naitwa nani? taja jina langu halisi, acha na ID ya kadoda11. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
Sitaki kukujua na sitawai taka kukujua..Kenye najua haujawai kanyaga Kenya..Period!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom