Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haya mananasi yanalimwa kenya?... nimeuliza tu kwa nia njema si kwa ubaya.

kama hutojali unaweza kututajia shamba ambalo yanalimwa haya mananasi hapo kenya.
Ndio mkuu...kuna shamba kubwa sana thika la mananasi
 
enginneers wakenya walienda kula bajia vyuoni

hahahaha.... hahahaha... hahahaha.... nikisema wakenya huwa wanaenda chuo kikuuu kusomea ujinga huwa wanakasirika. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
enginneers wakenya walienda kula bajia vyuoni

sidhani kama ni mimi tu ndio nimegundua au kuna wengine wameona pia? Architecture ya kikenya ni muozo. Ukija kwenye nyumba, wameoza, kwenye majengo marefu wanaiga conceptual designs za nchi nyingine, yaani ni shida tu. Hebu angalia hizo apartment blocks na ulinganishe na za Tz
 
serengeti🤗🤗🤗🤗

AA6107F9-0009-4891-924E-82925769BE02.jpeg
 
sidhani kama ni mimi tu ndio nimegundua au kuna wengine wameona pia? Architecture ya kikenya ni muozo. Ukija kwenye nyumba, wameoza, kwenye majengo marefu wanaiga conceptual designs za nchi nyingine, yaani ni shida tu. Hebu angalia hizo apartment blocks na ulinganishe na za Tz
Wacha tulinganishe za Nairobi na Dar tuone nani wako juu[emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81] [emoji81]
41358873701_5b95a5e6c1_b.jpg
Screenshot_20180817-122108.jpg
 
sasa wewe, unajua maana ya apartments? unalinganisha apartments na buildings hizo au unakuja kwa shari?
Nime google apartment za Dar nikaletewa hizo[emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83] [emoji83]
 
Back
Top Bottom