komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Wewe unajuwa maana ya 1 bedroom..kijana wa dar mwanzo hana uwezo wa kulipia 1bedroom kw mwezi..Mwenzako amesha kili kuwa anaishi kwenye chumba cha passport size cause he is single[emoji23][emoji23][emoji23] Na wewe upo Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
11,000 ksh wataeza kwel..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]