Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umevaa suti "mzungu kafa ulaya" (mtumba) alafu unaweka rose flower uliyoiba kutoka kwenye garden ya muhindi hapo MombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
Mwili umekukauka kama vile unashindia milungi. It seems hupati lishe inayokutosha.. You can be used as a skelton in a biology labaratory.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
FB_IMG_15384684622596592-1.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevaa suti "mzungu kafa ulaya" (mtumba) alafu unaweka rose flower uliyoiba kutoka kwenye garden ya muhindi hapo Mombasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwili umekukauka kama vile unashindia milungi. It seems hupati lishe inayokutosha.. You can be used as a skelton in a biology labaratory.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 884180
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
[emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
 
Naona una wivu kijana mdogo anakutia homa...mwenzako niko katika flat ya one bedroom...bro...nilitoka kwetu na kuanza kujituma...sasa unafkria unaeza nilanganisha mimi ni vijana wa dar
One bedroomπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maisha ya post size ndounaishi??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Chumba ndo toilet, sitting na dinning room??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa kama ulikuwa na fair yakufika Mombasa will you manage ya Nairobi. I feel sorry for you. Wenye jiji lao wamekimbia hii battle mmebaki wa Mombasa, Kisumu, Machakosi na Nakuru. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar sio size yako.
 
Eti hii ni unplanned kulingana na mulisa...na barabara zote zaonekana...nyumba zote hzo mtaa una entrance yake..barabara zote hzo ziko tarmarced kitambo..na watoto wana skate balaa...kweli mombasa inawaumiza vichwaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji382] [emoji382] [emoji382] [emoji382]
watoto wana skate kwa vumbiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kujaribu kuhusanisha matukio ya kuporomoka kwa majumba jijini nairobi na mpangalio wa ujenzi wa nyumba jijini dar es salaam ni kutafuta excuse ya kijinga.

kitaaluma mimi sio mhandisi majenzi,hata hivyo hainizui kutambua kwamba andishi lako limeegemea zaidi kwenye hisia kuliko ukweli halisi.

sitaandika maneno mengi ya po porojo,nitajikita kwenye fact hukusu sababu inayopelekea majengo yenu mengi kuporomoka.
[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji116][emoji116][emoji116][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]

View attachment 883909View attachment 883910View attachment 883912View attachment 883913View attachment 883914View attachment 883917View attachment 883918
Dar is slum hakuna majengo bana .......ni machache sana ili yafike kiwango cha kuporomoka
 
One bedroom[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Maisha ya post size ndounaishi??[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848] Chumba ndo toilet, sitting na dinning room??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa kama ulikuwa na fair yakufika Mombasa will you manage ya Nairobi. I feel sorry for you. Wenye jiji lao wamekimbia hii battle mmebaki wa Mombasa, Kisumu, Machakosi na Nakuru. [emoji23][emoji23][emoji23] Dar sio size yako.
Bro...mimi ni barchelor.....heheee!!!na najituma...si km vijana wa dar...siez ishi kwetu kw sasa
 
Bro...mimi ni barchelor.....heheee!!!na najituma...si km vijana wa dar...siez ishi kwetu kw sasa
Alafu mi bado kijana mdogo sana...ama tuanze kupambanisha mali za mzazi wangu na zako...manake nashuku sanamko at the same age
 
One bedroomπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maisha ya post size ndounaishi??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Chumba ndo toilet, sitting na dinning room??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa kama ulikuwa na fair yakufika Mombasa will you manage ya Nairobi. I feel sorry for you. Wenye jiji lao wamekimbia hii battle mmebaki wa Mombasa, Kisumu, Machakosi na Nakuru. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar sio size yako.
Buda Boss wewe unatumia pit latrine na unakuja kubonga mbaya hapa
 
One bedroomπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Maisha ya post size ndounaishi??πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€”πŸ€” Chumba ndo toilet, sitting na dinning room??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Sasa kama ulikuwa na fair yakufika Mombasa will you manage ya Nairobi. I feel sorry for you. Wenye jiji lao wamekimbia hii battle mmebaki wa Mombasa, Kisumu, Machakosi na Nakuru. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Dar sio size yako.
Hata haujui tafouti kati ya one bed room na bed sitter..rent ya one bedroom mombasa ni kama ya 3 bed room drslum
 
Hata haujui tafouti kati ya one bed room na bed sitter..rent ya one bedroom mombasa ni kama ya 3 bed room drslum
Mwenzako amesha kili kuwa anaishi kwenye chumba cha passport size cause he is singleπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Na wewe upo MombasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mnaishi kwenu kwa nyumba ya matope..yenye mabati imerust..mnatumia pit latrine..ovyo kabisa
Mi nashngaa huyu msee bana..mi bado kijana na naishi kw 1 bedroom..ama ilkuwa anatka niishi kwetu...nme rent karibu na cbd na cbd ju kazi zangu ziko hko..
Budangu ako na nyumba...tena si moja...bamburi na shanzu..4 bedroom zote..
 
Dar is slum hakuna majengo bana .......ni machache sana ili yafike kiwango cha kuporomoka
hahahaha....inaonekana mnachukulia kuporomoka majengo ni kama sifa. haya bakini na sifa yenu ya kijinga.
 
mnaishi kwenu kwa nyumba ya matope..yenye mabati imerust..mnatumia pit latrine..ovyo kabisa
Na wewe unaishi kwenye hizi Tononoko flats za Mombasa kama mwenzakoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mwenzako amesha kili kuwa hapa ndoanaishiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
1313662.jpg
1313644.jpg
 
Alafu mi bado kijana mdogo sana...ama tuanze kupambanisha mali za mzazi wangu na zako...manake nashuku sanamko at the same age
yes leta za mzazi wako. Wewe level yako ya chini. Thus why hata kwenye hii battle umeshindwa kujenga hoja.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom