Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

In Nairobi, 80% the poor and lower middle class live in apartments. Some of these apartments are unplanned and poorly constructed reason there's occasional collapse. Despite that, most of these low class apartments are structurally sound. Only a few built by quacks pose danger. In Tanzania, 90% of Dar is a sea of unplanned single story buildings poorly constructed obviously without the services of professionals. All your multiple story buildings are either in the CBD or the few high class residential you have. Now, single story buildings can't collapse. See the difference?
kujaribu kuhusanisha matukio ya kuporomoka kwa majumba jijini nairobi na mpangalio wa ujenzi wa nyumba jijini dar es salaam ni kutafuta excuse ya kijinga.

kitaaluma mimi sio mhandisi majenzi,hata hivyo hainizui kutambua kwamba andishi lako limeegemea zaidi kwenye hisia kuliko ukweli halisi.

sitaandika maneno mengi ya po porojo,nitajikita kwenye fact hukusu sababu inayopelekea majengo yenu mengi kuporomoka.

IMG_20181001_222636.jpeg
IMG_20181001_222936.jpeg
IMG_20181001_223405.jpeg
IMG_20181001_223616.jpeg
IMG_20181001_223732.jpeg
IMG_20181001_223940.jpeg
IMG_20181001_224157.jpeg
 
Attachments

  • IMG_20181001_223856.jpeg
    IMG_20181001_223856.jpeg
    86 KB · Views: 15
In Nairobi, 80% the poor and lower middle class live in apartments. Some of these apartments are unplanned and poorly constructed reason there's occasional collapse. Despite that, most of these low class apartments are structurally sound. Only a few built by quacks pose danger. In Tanzania, 90% of Dar is a sea of unplanned single story buildings poorly constructed obviously without the services of professionals. All your multiple story buildings are either in the CBD or the few high class residential you have. Now, single story buildings can't collapse. See the difference?
When a man be happy to live in hostels!shame..
 
Nimeksia Mbeya nao pia ni mji kule Bongoland😀😀zikwapi picha za ule uzinduzi wa elevator ya kwanza😛😛subiri naja

Kumbe nyie kwenu mji kupass status ya city ni mpaka uwe na rifti kabisa,maana bila ghorofa hata moja kuwepo haiwezekani.

Jipe mida upitie vitini kujua ni vigezo gani hufanya mji kuitwa jiji.
 
Mombasa last year handled 1.4 million...u can swallow bitter pills but its afact...it hundles more than KIA...it pains but its a fact..tourists who go to tsavo to see kilimanjoeo,domestic tourists,watamu beach,dianibeach..and transit tourists to Zanzibar makes mombasa have that huge number
Kilimanjaro inter airport ina handle over 10 international direct flight na ukumbuke sasa hvi ina handle 1.2million passengers na 80% ni tourists

unaniletea handling capacity ya mombasa ambayo ni local passengers na still haina hata direct flight zinazozidi mbili sijui umeelewa lakini
 
Mombasa last year handled 1.4 million...u can swallow bitter pills but its afact...it hundles more than KIA...it pains but its a fact..tourists who go to tsavo to see kilimanjoeo,domestic tourists,watamu beach,dianibeach..and transit tourists to Zanzibar makes mombasa have that huge number
elewa kiswahili vzr nimekwambia kilimanjaro ina handle 1.2m passengers na mostly ni tourists na ukumbuke KiA ina handle over 10 international directs flights

mombasa haizidi hata international direct flight mbili na mostly passengers are locally sijui unaelewa point yangu 😂😂😂😂
 
mwisho utakuja kushindanisha matako yako na ya vera sidika ili tujue kati ya wewe na vera nani ana matako makubwa.
Matusi ya nini sasa...shows how foolish and empty minded u are ..no facts at all ..hope your children wouldn't inherit such
 
Kumbe nyie kwenu mji kupass status ya city ni mpaka uwe na rifti kabisa,maana bila ghorofa hata moja kuwepo haiwezekani.

Jipe mida upitie vitini kujua ni vigezo gani hufanya mji kuitwa jiji.
Wayasema wewe hayo
 
elewa kiswahili vzr nimekwambia kilimanjaro ina handle 1.2m passengers na mostly ni tourists na ukumbuke KiA ina handle over 10 international directs flights

mombasa haizidi hata international direct flight mbili na mostly passengers are locally sijui unaelewa point yangu
Sawa sawa.mombasa 1.4m kia 1.2m..kojoa ukalale
 
Sawa sawa.mombasa 1.4m kia 1.2m..kojoa ukalale
ahahahha sasa nioneshe international direct flight zinazotua mombasa nicheke😂😂😂😂😂

maana kilimanjaro ina over 10 international direct flights😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom