Sasa wewe ndiyo unaleta mambo ya kike ya kusutana hapa. Hamna mtu aliyekupangia ila bishana mambo yenye kuleta utatuzi wa umasikini, siyo kila kukicha mara TZ hivi au kenya vile.
Nchi zote hizo mbili ni shida tu, none of them is better than the other.
Mnakaa hapa kubwabwaja tu! Huwezi kuta wazungu wanabishana eti ujerumani better kuliko Uingereza. Yaani upuuzi kabisa, badala kuchallenge serikali zetu kutatua matatizo ya umasikini mnashinda kupondana nchi kwa nchi. Do you think it's worth it what you are doing?
Jamii forum haijakwambia kubishana upuuzi.