Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwaivo source yako ni Twitter?View attachment 879504
Bottas..huyu msee ako na uwana ile hakuna mazee..nlimshow alete hzo mandege zimekuwa lease na mwaka each...si alichorea hyo risto...
anadandiaga vitu za twitter na kuleta..hajui jf kule fb watz wanaponda gava ile noma..bt mi nachukulia tu zile opinions zao na siez leta hapa km proof...ushenee tu ndo huaga na vitu bonoko analetaga hku
 
Sio $80bn ni $86bln....last year 2017 tulikua $74bn na growth ya 4% tujafika $86bn SASA huu mwaka tukikua Kwa 5.9% *- 2019 ina maana tutakua na GDP ya over $100bn...sasa Fanya calculations zako za na 6.5 economic growth Kwa miaka 4 uone......
calculation za uchumi sio sawa na hesabu za dukani budaa 😂😂😂😂😂 naona ni kama vile unahesabu bajia
 
Bottas..huyu msee ako na uwana ile hakuna mazee..nlimshow alete hzo mandege zimekuwa lease na mwaka each...si alichorea hyo risto...
anadandiaga vitu za twitter na kuleta..hajui jf kule fb watz wanaponda gava ile noma..bt mi nachukulia tu zile opinions zao na siez leta hapa km proof...ushenee tu ndo huaga na vitu bonoko analetaga hku
ikiwa hata sababu ya loss huijui we labda unajua kuvaa bikini tu😂😂😂😂😂
 
Mwandiko wako unadhihirisha kuwa wewe ni kivulana cha Kenya,mwanamke hawezi kuwa na mwandiko huo
You are free to say anything.Nafurahi sana kuona vile ninavyovitia vijidume vya kibongo wasiwasi. Ubaguzi wa kijinsia mtaacha. I will deal with you accordingly. I see that kenyan men are sparing you here. I am sure you have never encountered a woman from Kenya here. I knew I was risking by registering here. You should thank or rather blame airtel for exposing your stuff out there for free. Sina ubaya wowote. Nawasihi nyie vidume vya kibongo to let me enjoy the ride peacefully
 
Kama kweli wewe ni mwanamke,nimeona uko vizuri upstairs kuliko hivi vijamaa vya kikenya vilivyokuwepo hapa,they always post nonsense...
Vivulana vya kikenya dada yenu kawazidi kwa ubongo ni aibu,muanze kuposti vitu vya maana monkey nyie..
 
kumbe hta kingereza huelewi...soma vizuri uelewe..unafkiria uhuru anaondoka kesho..hehee..and then kw fikra zako unafkria gdp ya kenya by 2022 itakuwa ngapi...kumbe wewe kilaza hv ...haya sasa piga hesabu vizuri bro..69b$ mbna deni dogo sana kw gdp ambayo kenya itakuwa nayo 2022..nakuhakikishia hta 50% ya gdp 2022 haitokaribia...hya njoo kivingine nikutengeneze
 
niko busy sana na shughuli za kujenga nchi. i'm not a jobless person like many kenyans.

btw kumbe una enjoy vile ninavyokuongelesha?
Eti jobless kenyans na wabongo wengi kama akina ichogal hukesha hapa wakidhalilisha nchi ya Kenya .wao hujenga nchi saa ngapi? Naona uliambukiza wenzako ugonjwa wa ubaguzi wa kijinsia .I've seen that you have reformed.
 
Back
Top Bottom